Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Msaada nina shida ya kifamilia na muigizaji nguli wa zamani kwenye televisheni ya ITV alikuwa maarufu na lafudhi yake ya kihaya kipindi chao nadhani kilikuwa kinaitwa mambo hayo mwenye kujua...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari nilizopata muda huu ni kua mkuu wa wilaya ya Rufiji Juma Abdallah Njwayo akiwa katika kijiji kimoja huko kata ya Ngarambe amempiga kibao mwenyekiti wa kijiji bwana. Hemedi Nditi mbele ya...
3 Reactions
118 Replies
15K Views
KWA NIA NJEMA KABISA
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Jumla watu 1.4 milioni nchini Tanzania wanaishi na virusi vya UKIMWI na takwimu hizo ndiyo rasmi hivyo asitokee mtu au kikundi cha watu kupotosha. Dar es Salaam. Mkoa wa Njombe umetajwa kuongoza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Halimashauriya mji wa babati imeanzisha dampo katikatiya mjii karibu na bar ya olimpic ya juu.dampo hilo la muda mrefu sasa inasemekana mawakala wa kukusanja uchafu walionyeshwa sehemu hiyo .je...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nafurahishwa sana na vipawa vya viongozi wetu wanavyovionyesha wakitembelea bandarini,ama kwa hakika hawa ni chaguo la Mungu na awamu hii ya tano ina baraka zote za jehovah Imagine vichwa vya...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa sasa tunavyozungumza doctor shika ni talk of the town na amekuwa gumzo hapa mjini. Kwa sasa Dk. Shika amekuwa akitumika katika matangazo mbalimbali kutokana na umaruufu wake hapa mjini. Ila...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Heshima kwenu wadau, Ni wazi nchini Kenya hali ya kisiasa ni mbaya na kiusalama inatishia amani na kutokea kwa mgawanyiko mkubwa kuliko vipindi vyote vilivyopita. Hali kadhalika nchini Tanzania...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Me si mkereketwa wa siasa, lakin kidogo huwa nafuatilia mambo ya siasa. Hizi purukushani za watu kuhamia ccm ninaziona ona tu kama hivi...Nina maswali mawili wanaoweza kunijibu mtanijibu 1. Je ...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu katika daraja la Mwendokasi(Kimara UDART Terminal) kila siku kuna mtoto huwa anawekwa pale na "mzazi" wake na kuwekewa kakopo kwa ajili ya kurushiwa pesa. Huyu mtoto ni chini ya mwaka...
25 Reactions
63 Replies
9K Views
Jina la kitambulisho AHMAD, Hussein. Sambaganya Programme: B.A with Education Chuo: University of Dar es salaam College: CoHU Kwa anayemjua Tuwasiliane 0784202710 Yours' Faithful, MUOKOTAJI
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Serikali kwa kushirikiana na taasisi binafsi katika Wilaya ya Tunduru inaendelea na uchimbaji wa visima virefu vya maji katika vijiji 23 ili kupunguza tatizo la upatikanaji wa maji kwa wakazi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hiyo Muzungu hospital Nairobi hata Wakenya wenyewe wanaikimbia na kwenda kuitbiwa India, lkn chadema ndiko walikompeleka Tundu Lisu na sasa wanategemea sisi tulipie gharama zake, binafsi napinga...
4 Reactions
63 Replies
5K Views
Habari za kulijenga taifa wakuu, Niende kwenye mada, Miaka ya nyuma kidogo nakua nilikuwa nawaona wadada zetu katika ubora wa kiasili zaidi na kumuona vizuri Mungu alivyo muumba. Yaani unakuta...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Siku ya leo wanafunzi ( wana ccm ) kutoka udsm wanaokaa mabibo hostel walifanya hafla ya kuwakaribisha first year ,shughuli hii iliambatana na ugawaji wa kadi 400 kwa wanachama wa ccm wengi wao...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiukweli maisha ni mzunguko Leo unacho ,kesho huna Nakumbuka Mara ya kwanza nafungua akaunti NMB kwa pesa za msaada wa ndugu na marafiki akaunti ilikua inanona kila wakati Nlipoingia chuo...
4 Reactions
17 Replies
7K Views
NEAR DEATH EXPERIENCE: ( Hali inayompata Binadamu anapokaribia Kufariki Dunia) Near Death experience ni scientific topic ijapokuwa ina maudhui ya kiimani Ni muda kidogo umepita tangia...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Wana JF hata usingizi sipati naomba msaada, nimeandaa excell yenye calculation na formula zake yani ukiweka input ina calculate yenyewe kunipa sum mfano NSSF, TRA, LOAN, FUNDING AGENCY, PERDIEM...
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Chama cha mapinduzi ni kati ya vyama vikongwe baran Afrika kama vile ANC cha Afrika kusini,Zanu Pf cha Zimbabwe,ni kama vile wapenzi wengi wa mpira kama sio Simba ni Yanga na kama Sio Yanga ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna kamsemo kamoja maarufu kalitrend sana sijui vua nini vaa gwanda naona ndege imepiga u turn angani. Naona watu wameamua kuvua gwanda sasa tena wenyewe bila shuruti. Bado dirisha la usajili...
0 Reactions
4 Replies
927 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…