Kitambulisho kimeokotwa: Cha mwanafunzi wa Education - UDSM

umande

JF-Expert Member
May 11, 2012
314
250
Jina la kitambulisho AHMAD, Hussein. Sambaganya
Programme: B.A with Education
Chuo: University of Dar es salaam
College: CoHU

Kwa anayemjua Tuwasiliane 0784202710

Yours' Faithful, MUOKOTAJI
 

vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
3,820
2,000
Safi mkuu kwa wema wako, ila vitambulisho vya UDSM vina namba ya simu ya mwenye Kitambulisho kwa chini, jaribu kumtaarifu.
 

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
883
1,000
Jina la kitambulisho AHMAD, Hussein. Sambaganya
Programme: B.A with Education
Chuo: University of Dar es salaam
College: CoHU

Kwa anayemjua Tuwasiliane 0784202710

Yours' Faithful, MUOKOTAJI
Uyo leo kakosa freshers ya makonda bila kitambulisho haingii
 

umande

JF-Expert Member
May 11, 2012
314
250
Safi mkuu kwa wema wako, ila vitambulisho vya UDSM vina namba ya simu ya mwenye Kitambulisho kwa chini, jaribu kumtaarifu.
Namba anapoke mtu mwingine kabisa, na wala hamujui huyo mhusika
 

clixus

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
723
500
WCB, fid q,ay,mwanafa,ruby,bilnass,mpoto,rayc,jayd,na wengneo mlioongozwa na bashite ona sasa mlivo wachanganya wana vyuo hadi I'd znaokotwa hkooo
 

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
1,018
2,000
Peleka kituo chochote cha police hapo Dar watamfikishia au kipeleke hapo UDSM kama upo karibu mwachie katibu muhitas atampatia. Inawezekana hayupo huku jamii forum hivyo usitegemee asome tangazo lako

Asante
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
38,326
2,000
Peleka kituo cha polisi, utakuja kukamatwa inawezekana mtu kafa huko.
 

ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,593
2,000
Usiku huu atakua anakula "bata" iliyoandaliwa na bashite, kesho atakutafuta
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom