Ile kampeni ilikua inasemaje Vua nini Vaa Gwanda??

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Kuna kamsemo kamoja maarufu kalitrend sana sijui vua nini vaa gwanda naona ndege imepiga u turn angani.

Naona watu wameamua kuvua gwanda sasa tena wenyewe bila shuruti.

Bado dirisha la usajili lipo wazi ukiona unakipaji karibu.
 
Pumba tupu.
Hapa ndo tatizo la upinzani badala kufanya primary prevention mnabaki kusema pumba tu huku tukiendelea kufanya usajili wa nguvu.
Msisubiri Tertiary prevention mtaaluma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom