Tafrani baada ya Kigogo UVCCM Kuhadaa wasomi

info12345

New Member
Dec 2, 2017
4
45
Siku ya leo wanafunzi ( wana ccm ) kutoka udsm wanaokaa mabibo hostel walifanya hafla ya kuwakaribisha first year ,shughuli hii iliambatana na ugawaji wa kadi 400 kwa wanachama wa ccm wengi wao wakiwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa undergraduate na postgraduate , shughuli hii iliongozwa na viongozi kutoka ngazi ya tawi hadi ngazi ya Taifa, muda wote meza kuu walionekana viongozi wafuatao ( debora Charles ( huyu alijitambulisha kutoka uvccm-Taifa, Isaac ( huyu ni mwenyekit wa mabibo hostel) Said Nguya( huyu alijitambulisha kutoka ofisi ya Itikadi na Uenezi-Taifa, Shaban Shaban( huyu nae alijitambulisha kutoka makao makuu), Frank( huyu ni mwenyekit wa Udsm-main), Bulugu ( huyu hakusika vizuri anatoka wapi , japo), Mgeni rasmi alikuwa bwana Saidi aliyemuwakilisha Katibu mwenezi .

UGOMVI ULIVYOANZA

Baada ya shughuli zote ikiwemo risala kusomwa , mshereheshaji alijiandaa kumkaribisha Mgeni rasmi ili ajibu , ghafula aliingia bwana Daniel Zenda ( ambae alijitambulisha kama katibu mkuu wa idara ya vyuo vikuu , UVCCM-Taifa) , kuingia kwa bwana huyu kulionekana kutowafurahisha meza kuu kwani ilikuwa tayari muda kwisha ( ikizingatiwa wahusika walipanga kwenda kwenye shughuli ya RC ,Mlimani city) , baada ya kuingia kwa mbwembwe bwana zenda alipewa kiti meza kuu ,karibu na mwenyekiti wa mtaa, ambapo alisalimiana nae kwa bashasha , kisha akaomba kusalimia mhadhara, baada ya kupewa mic alianza kwa kujigamba kuwa amezungumza na mwenyekt wa mtaa na sasa mabibo hostel wangepewa ofisi , akapigiwa makofi, kisha aka kaa kwa mbwembwe huku akiwataka wanafunz wa msifu kwa lugha ya kichina, baada ya tambo zake kumalizika ndipo alipo simama ndugu Said na kisha kusoma ahad number 8 ya ccm kuwa unafiki kwake mwiko , baada ya kuisoma ahadi hiyo alianza kwa kumueleza bwana zenda namna alivyokataa kuwasaidia wanafunzi wa mabibo kufanikisha sherehe ile ikiwemo kutopokea simu zao na hata kutowasikiliza pale ofisin kwake , kisha akamwambia wewe ni muongo umefika dakika mbili hapa tayali umeshaanda mpango wa kujenga ofisi wakati hata msaada wa kuandaa sherehe hii hukuweza kuutoa , ndipo wanafunz waliposhangilia huku tafrani ikiibuka kwa bwana zenda kuchukia maneno yale yaliyofanya mhadhara wote kumuona kama mtu muongo asiye na msaada kwao, wengi wakasikika wakisema kwanini mtu huyu ndio anapewa uongozi kutuongoza wasomi wa vyuo vikuu .... (itaendelea kadri informer atakavyo tuletea taarifa )
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,461
2,000
Uthibitisho mwingine wa chama cha wahuni, wauaji na mafisadi. Wako busy kuimarisha chama chini ya dikteta uchwara, mwizi, muongo, mgawa rushwa, mbadhirifu na fisadi wa kutupa!

Tony antony

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
4,987
2,000
Uthibitisho mwingine wa chama cha wahuni, wauaji na mafisadi. Wako busy kuimarisha chama chini ya dikteta uchwara, mwizi, muongo, mgawa rushwa, mbadhirifu na fisadi wa kutupa!
Mkuu ukifuatilia sana ya upande wa pili yako utayajenga lini na saa ngapi??hayo ya ndani ya CCM wacha waparuane wakitoka huko ugomvi wao na nguvu zao zote zitawaandama nyie,je wakati huo ukiwadia nyie mtakuwa mmejipangaje wakati hivi sasa mnawachungulia na kufurahia wanavyoparuana bila ya nyie kuchukua hatua ya kujidhatiti na kujiimarisha zaidi?
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,461
2,000
Mkuu Chadema, pamoja na hizi sinema za hawa wahuni za kununua wachumia tumbo, ipo mioyoni mwa Watanzania walio wengi. Kwenye uchaguzi huru na wa haki maeneo mengi nchini hawa wahuni hawapati kitu. Na ndiyo sababu inabidi wapore ushindi kwa mapanga, visu, marungu na mitutu ya bunduki na wakati huo huo wakifanya juu chini kuhakikisha Watanzania hatupati katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi.

Mkuu ukifuatilia sana ya upande wa pili yako utayajenga lini na saa ngapi??hayo ya ndani ya CCM wacha waparuane wakitoka huko ugomvi wao na nguvu zao zote zitawaandama nyie,je wakati huo ukiwadia nyie mtakuwa mmejipangaje wakati hivi sasa mnawachungulia na kufurahia wanavyoparuana bila ya nyie kuchukua hatua ya kujidhatiti na kujiimarisha zaidi?
 
marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
13,809
2,000
ndipo wanafunz waliposhangilia huku tafrani ikiibuka kwa bwana zenda kuchukia maneno yale yaliyofanya mhadhara wote kumuona kama mtu muongo asiye na msaada kwao, wengi wakasikika wakisema kwanini mtu huyu ndio anapewa uongozi kutuongoza wasomi wa vyuo vikuu .... (itaendelea kadri informer atakavyo tuletea taarifa )

Pendekezo: Iambatane na video
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom