Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Hiyo Muzungu hospital Nairobi hata Wakenya wenyewe wanaikimbia na kwenda kuitbiwa India, lkn chadema ndiko walikompeleka Tundu Lisu na sasa wanategemea sisi tulipie gharama zake, binafsi napinga Serikali yangu kulipia gharama za Matibabu Nairobi hospital, kwani kuna utaratibu wa Mtanzania kulipiwa gharama za matibabu nje ya nchi, na huu utaratibu Tundu Lisu na wanaomuuguza hawakutaka kuufwata, hivyo siyo kosa letu na wala Watanzania hatuna jukumu la kumuuguza, hivyo ukiniuliza mimi hata wakimsusia matibabu kwa kukosa hela hapo Nairobi Hospital, sawa tu, siyo shida yetu, ...