Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Basi ilikuwa trh 24 siku 1 kabla Christmas kama kawaida maza na mshua wakaniambia twende mjini kununua nguo. Basi nikajiandaa fasta huku akili yangu ikijua lazima kile kiatu ninunue. Basi...
22 Reactions
40 Replies
4K Views
Wakuu embu nihabarisheni kwa uelewa wangu Nimesikia from clouds media. Kuwa Bodi ya Bima ya Amana itawalipa Wateja kiasi cha juu 1.5m bila kujali mteja alikuwa na kiasi gani . Wenye kiwango...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Nimekaa Hapa ninatafakari mtu anawezaje kuishi kama mashetani? Sababu ya kumfanya aishi Kama shetani ni ipi? Je tukiishi kama mashetani ni faida au hasara ipi italikumba taifa? Je mkuu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Meneja wa wakala wa Majengo TBA mkoa wa Kigoma Mhandisi Mgalla Mashaka amekamatwa na polisi akituhumiwa kushindwa kukarabati shule ya sekondari Kigoma kwa wakati licha ya kupewa zaidi ya shilingi...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Wiki iliyopita palikuwa na mjadala uliohusisha Sumatra, Taboa na Chama cha kutetea Abiria Chakua ukirushwa live na ITV. Hii leo kwa mujibu wa taarifa ya habari 20:00hrs palikuwa na mkutano...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Naona KINAPA wakishirikiana na wenyeji wanaozunguka maeneo ya karibu ya mlima Kilimanjaro wamefanya kazi nzuri na sasa ile hali ya barafu juu ya mlima inarudi kama zamani. Hii hali ilikuwa ni kwa...
45 Reactions
190 Replies
26K Views
Habari za usiku huu: Hivi kuna ukweli kwamba kama mtu hajalala usiku basi ni Popo na kama ni Bundi ni Mchawi? Hivi kuna ukweli kwamba viongozi wetu wanahubiri Tanzania ya Viwanda kwenye Majukwaa...
0 Reactions
3 Replies
601 Views
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa majini na nchi kavu, SUMATRA imeonja joto ya jiwe katika ukumbi wa polisi Mesi Arusha, pale ilipoachwa soremba na wamiliki wa magari ya usafirishaji baada ya kutoka...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu salam, Upo ushenzi ambao niliwahi kuufanya nikiwa China mwaka ulioishia juzi ambao mpaka leo unaniumiza kichwa kweli. Kwanza ukiwa China ni marufuku kubadili fedha ya China zaidi ya UAN...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kikosi cha kupambana na rushwa Kiteto kinawashikilia maafisa elimu wawili wilayani Kiteto kwa tuhuma za kutumia mqdaraka yao vibaya Taarifa za uhakikia zinaeleza kuwa moja ya sababu ya...
1 Reactions
1 Replies
811 Views
Ikiwa inajulikana kwamba Punda huwa ana ngozi ngumu na ni mharifu sana wa magari hasa madogo pindi anapogongwa leo kaipata fresh. Maeneo ya Nanja Wilayani Monduli Mkoani Arusha leo january 04...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Siku moja baada ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kutangaza kuanza kampeni ya miezi mitatu ya kuwasaka wanufaika wa mikopo ambao mikopo yao imeshaiva, wadaiwa waanza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau; Mimi kitaaluma ni mwanasaikolojia na kwa muda sasa nimekuwa nikifanya study ya personality development kuanzia utotoni mpaka uzeeni.Katika tafiti zangu pia ninatazama maswala ya...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
January 04, 2018 BARUA YA WAZI KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE(DR.) JOHN POMBE MAGUFULI Mhe.Rais, kwa heshima na taadhima naomba nianze kwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mamlaka husika ujumbe mzito huo kuhusu bidhaa zetu za ndani katika kuelekea uchumi wa viwanda na nchi kufikia uchumi wa kati ifika mwaka 2025. Utatuzi wa Changamoto hii.......
0 Reactions
5 Replies
804 Views
JIHADHARI, HAYA NDIYO YANAITWA UCHOCHEZI KWASASA. Kama hujajua ni kuwa ni rahisi sana kuunganishwa kwenye makosa ya uchochezi. Sheria mpya ya Huduma za Habari ya mwaka 2016...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Jaffary Mohamed amethibitisha kuwa wanamshikila Nyandaro Kusoya mkazi wa kijiji cha Nyang'oma kwa tuhuma za kumchoma moto mikono yote mtoto wa kaka yake, Sarah...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) mkoani Kilimanjaro inamshikilia karani wa Mahakama ya Mwanzo ya Maili Sita wilayani Hai, Rose Urassa (58) kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba swali hili liwe mahususi kwa jeshi la polisi na wapenda usalama wote. Huu mtaa wa keko uko jijini Dar es salaam katika manispaa ya temeke. naweza kusema ni mtaa tata tangu enzi na enzi na...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Marafiki wawili*(Elias na Ben)* walikuwa wanatembea mtaani akatokea mwanamke akarusha busu kwa mmojawapo kupitia dirishani katika jengo la ghorofa tatu. Wakaanza kujadiliana kama ifuatavyo...
3 Reactions
2 Replies
769 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…