ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,358
- 4,631
Habari wadau;
Mimi kitaaluma ni mwanasaikolojia na kwa muda sasa nimekuwa nikifanya study ya personality development kuanzia utotoni mpaka uzeeni.Katika tafiti zangu pia ninatazama maswala ya sexuality development na Gender identity.Mara nyingi huwa ninapenda kuyatafiti ya maswala ambayo yaka katika grey areas katika tamaduni,siasa,mapenzi n.k.Kiasi kikubwa cha tafiti zangu kwa sasa sio kwa ajili ya public consumption hasa kwa kuwa nyingi ya hizi mada ni sensitive na mahitimisho yangu ni controversial.
Leo nataka nizungumzie suala la Ugaidi(Terrorism) na namna ugaidi unavoanza.Kwanza nifafanue kidogo maana ya ugaidi kwamba ni matumizi ya vitisho kwa ajili ya kulazimisha kusikilizwa.Wengi huishia hapo na mara zote tumefikia kuwaona magaidi kuwa ni watu wabaya bila kusahau kuwa kimsingi watu hufanya ugaidi baada ya kufanyaiwa ugaidi wa kimfumo(Systematic Terrorism)
Ninapozungumzia Systematic Terrorism nazungumzia matumizi ya nguvu yaliyo ndani ya mfumo wa kijamii au kiserikali ambaye ama yanakubaliwa na wengi au hata wachache ambao wana nguvu.Mfano ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa kuminya uhuru wa watu fulani,kutishia watu kuua wapinzani na kuwatishia.Mambo haya yote pamoja na utungaji wa sheria kandamizi ni namna ambazo zinatumika katika Systemic Terrorism.Systemic terrorism inaweza kuwa justified kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuimarisha usalama,kulinda amani n.k.
Ingawa wakati yanapofanyika huwa watu wanaweza wasione madhara lakini ugaidi wa kimfumo mara nyingi hukua na kufika mahali na kuwa ni unyanya saji na dhuluma na matokeo yake baadhi ya wanajamii hujiona kama wao ndio wanaonyanyaswa.watendaji wa ugaidi huu hufika mahali wakaanza kuwa wabaguzi katika utekelezaji wa mambo hayo na hii upelekea baadhi ya watu kujiona kwamba wako marginalized.
Kama ilivyo kawaida ,ukandamizaji wowote haudumu.Hufika wakati yule mkandamizwaji huamua kutaka kujitetea na hapo ndipo huibuka aina ya magaidi wanaoogopwa na kuchukiwa zaidi.Hawa ni magidi ambao ni non selective na ambao huuwa watu ambao hawana hatia na huwa tayari kufa katika kutetea kila wanachoamini.Hawa hujitoa mhanga maisha yao wenyewe ila wadai haki yao ni tofauti na magaidi wa systemic ambao ni selective na huwa wanalinda maisha yao.
Magaidi hawa wengi wao hutengenezwa kama matokeo ya mfumo tishio.
Nini lengo la andiko langu hili?
Lengo langu ni kuwaasa wana JF muyatazame kwa karibu matukio yote yanayotokea popote hapa nchini ambayo yanalenga kuwakandamiza watu kwa namna yoyte ile.Kama mko katika mfumo na mna nafasi ya maamuzi basi mfahamu kuwa pamoja na wanadamu kuwa nauwezo wa kuvumilia lakini uwezo wakuvumilia unamwisho wako hivyo nimuhimu mzingatie yafuatayo:
I stand to be corrected
Wasalaam
PBK

- Kwanza wasikilizeni na kwa kuwasikiliza namaanisha muwaache waseme.
- Pili kama kuna mifumo kandamizi ambayo haina maslahi ya msingi basi iondosheni,iwe ni sheria kandamizi,au watu wenye element za ubaguzi basi waondoeni kwani hofu huzaa chuki na chuki huzaa ugaidi
- Tatu nchi hii niyetu sote,Watanzania tunapendana,tusianze kufundishana chuki.tushirikiane kujenga nchi ila tusinyanyasane bali tuheshimiane
- Wanasiasa wawe makini na kauli zao lakini hata inapobidi kusema basi watu washindane kwa hoja sio viroja
- Viongozi wa dini tuepuka kauli tata
- Viongozi wa serikali tuheshimu wananchi,haitoshi tu kusema bali na matendo yetu yaonyeshe hilo
- Wananch tuheshimu serikali ili tusiiogopa,hii ni serikali yetu tuwasaidie wafanye kazi vizuri
I stand to be corrected
Wasalaam
PBK