Jinsi ya kuishi kama mashetani

Jinsi ya kuishi kama mashetani

Kinga kingdom

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
769
Reaction score
847
Nimekaa Hapa ninatafakari mtu anawezaje kuishi kama mashetani?

Sababu ya kumfanya aishi Kama shetani ni ipi?

Je tukiishi kama mashetani ni faida au hasara ipi italikumba taifa?

Je mkuu anenapo Kauli hii hajatuuza kwa mashetani katika ulimwengu wa roho?

Am just meditating the statement!

Wajuvi wa mambo ya kiroho mnisaidie kudadavua

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Hii kauli haikuwalenga watu kama nyinyi bali wale waliokuwa wanaishi kama Malaika. Lakini pia mheshimiwa nadhani anamchukulia poa" Devo " anadhani shetani ana maisha magumu kama anavyo dhani!
 
yaani nia ya baba mwenye nyumba ilikuwa kuwakomoa matajiri ila matajiri hawakomoleki wao wanakuja kumalizia hasira zote kwa wananchi wa chini

uchumi umekuwa kutoka 7.7 hadi kufikia 6.8 na faida imeshuka kutoka 600 hadi 200
 
kumbe wewe ni miongoni mwa wale waliokuwa wakiishi kama malaika
 
Nadhani ishi kwa kuloga, kuua, kutesa, kunywa damu za watu na kumwabudu lucifer
 
Kiufupi maisha mnayoishi watanzania hata mashetani wana nafuu sana, hata nguluwe anawazid
 
Back
Top Bottom