Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,467
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya ITV ilipofika habari za biashara kuna habari wakaisoma eti "Mauzo ya hisa yameongezeka mwaka 2016 kulinganisha na mwaka uliofatia "
Yaan kwa maana nyingine ITV mmeshindwa kusema mauzo ya hisa yameshuka kwa mwaka 2017 kulinganisha na mwaka 2016.
Yaan kupigwa faini ndo mmekuwa mafisi hata kujaribu kuficha ukweli......
Kweli mmenyooshwa..... Ndo maana hata taarifa yenu ya habari hamjui hata mnataarifu nini......