Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanry ameliagiza Jeshi la polisi mkoani humo kumsaka na kumtia nguvuni mwanaume mmoja mkazi wa wilaya ya Urambo anayedaiwa kupanga njama za kumuua mke wake kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba nitoe ushauri kutokana na tetesi nilizosikia, nitashukuru kama nitaeleweshwa iwapo ushauri wangu si mwafaka. Lakini pia naomba nisirushiwe maneno yenye kuudhi kutokana na ushauri wangu...
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Habari wadau.. Binafsi ni mhasibu kwa taaluma.. Nimesoma research ya PWC, research ya Oxford university, research ya kpmg, na research nyingi za vyuo tofauti.. Zinaonesha kwamba IT technology...
14 Reactions
101 Replies
9K Views
habari wakuu.. haka katabia kamekuwa kawaida yetu .hivi hata kwa majirani zetu wakenya au waganda ipo? unakuta mtu hajui kitu..labda katoka kijijini au hajawahi tumia/kuona kitu..utaskia...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Wengi wetu wanapenda sana kumiliki European Cars lakini huwa wanaogopa gharama na ugumu wa kuliendesha/kulimiliki hasa upatikanaji wa vipuri. Lakini yapo magari mengi tu ya Europe ambayo...
13 Reactions
83 Replies
11K Views
Wanabodi, Hivi mayai ya mbuni yanapatikana wapi hapa Tanzania na bei yake ni kiasi gani? Nauliza sio kwa sababu nataka kununua ila nataka kupata mchango wa wa wenye uelewa wa biashara hii...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Sijawahi kushuhudia Meya bogus kama huyu wa sasa, siku zote kihistoria Meya wa Jiji huvuma kila mahali, lkn huyu wa sasa nina uhakika 3/4 ya wana Dar hata jina lake hatulijui, hivi anaitwa tena...
0 Reactions
7 Replies
999 Views
Ndugu zangu Wakristo nawasalimu. Tumsifu Yesu Kristo! Ndugu zangu nawaomba wakristo wenzangu kwa nafasi zetu, vipawa vyetu na karama alizo tujalia Mwenyezi Mungu na sisi Tuanzishe Mashindano ya...
7 Reactions
253 Replies
27K Views
Wazima ndugu zangu, napenda kwenda moja kwa moja kwenye mada, kuna kiongozi mmoja wa dini yangu tunakaa nae mtaani lakini bahati mbaya mimi huwa sihudhurii ibada katika nyumba ya ibada ambayo yeye...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Naomba msaada wa kupata mawasiliano ya mtunzi wa sauti toka Ughaibuni, mashairi ya matumaini ndg. Christopher Mwashinga. Kama yumo humu anipm namba nimpigie ni muhimu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini, Hivi karibuni kumezuka ongezeko la ushoga nchini Tanzania. Ripoti mbalimbali zinaonesha kuwa jiji la Dar-es Salaam lina idadi kubwa ya watoto waliolawitiwa. ushoga huzaliwa, hutunzwa na...
3 Reactions
21 Replies
9K Views
Wandugu, Kampeni ya Uzalendo imezinduliwa rasmi Leo Dodoma sasa angalizo kama ndio mtindo huo wa kutaja CCM au CHADEMA tutashuka mapema kwenye hiyo safari ya UZALENDO.
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama amesema kuwa wameanzisha rasmi zoezi la ukamataji maharamia wa kazi za wasanii amabo ni wauzaji wa filamu feki, ambapo zoezi hilo linatrajiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
“Rushwa ni adui wa haki, sitopokea wala kutoa rushwa” Zamani nilifikiri rushwa huondoka watu wakipata mishahara inayowatosha. Kwa sasa nimegundua hakuna nchi ambayo watu hasa walala hoi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu nmeshuhudia hii kitu mara nying sana,utakuta watu wanarumbana,mara gafla mtu anachomekea tujineno twa ngeli,hahahahahaha,hua nashikwa na kicheko kikal,..ni kwamba unaonyesha msisitizo ama??
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau nimekuwa nikifikiria hapa Hivi mbona kila kukicha wadada mnatupiga mizinga? kisa vyuma kukaza au! sasa wadada Katika kulegeza hivi vyuma vilivyokazwa kisawasawa lazima muwe wabunifu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TUMALIZE UBISHI TANGAZO; "Serikali yetu inaanza ukaguzi wa vyeti vya Watumishi wa Umma mara moja." = JPM HOTUBA; "Uhakiki huu wa vyeti haukuhusisha VIONGOZI WA KISIASA ambao ni Mawaziri...
2 Reactions
13 Replies
6K Views
Jana Alhamisi usiku nilitizama kipindi cha MALUMBANO YA HOJA kinachorushwa na ITV. Mada ya jana ilihusu UZALENDO Tanzania etc etc. Walialikwa wasomi wabobezi : Dr Lwaitama, Dr Onesmo Kyeuka na...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Mahakama ya Wilaya Bukoba imemhukumu Emmanuel Cleophace (20) kwenda jela kwa miaka 30 kwa kosa la kumuoa mwanafunzi aliyekuwa amehitimu kidato cha nne anayeitwa Adilia Alistides(18). Mwanafunzi...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…