Sijawahi kushuhudia Meya bogus kama huyu wa sasa, siku zote kihistoria Meya wa Jiji huvuma kila mahali, lkn huyu wa sasa nina uhakika 3/4 ya wana Dar hata jina lake hatulijui, hivi anaitwa tena? Ni Mwita???
[HASHTAG]#barbarosa[/HASHTAG] , nahisi huyu baba yako keshamuahidi uwaziri kabisa. Muda si mrefu atauunga uwajibikaji hewa wa baba yenu mkono na kusema upinzani umekosa mashiko.
Lakini hivi nyie jamaa hamuumii akina mama mngwira kulamba nafasi zenu na nyinyi mnakomaa na keyboard tu lumumba?
Ila pia nikuulize na wewe, hivi ccm awamu hii haina katibu mkuu wa chama? Kinana vilee eeh