Tabia ya kumuita mwenzio "mshamba"

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,491
2,000
habari wakuu..
haka katabia kamekuwa kawaida yetu .hivi hata kwa majirani zetu wakenya au waganda ipo?
unakuta mtu hajui kitu..labda katoka kijijini au hajawahi tumia/kuona kitu..utaskia mshamba huyu.

this isn't cool guys..
kwa kiasi fulani naona mtu kuitwa hivi inafedhehesha! hasa kama ni mtu mzima mbele ya watoto.

unamuita mshamba mwenzio we ulizaliwa unajua?
wewe pia ulikua hujui ukaja kujua!!

mi nimewahi kuwa ndani ya sebule moja na kijana mmoja kutoka nanjilinj mtwara ...kachaguliwa UDSM..alikua anatuona tu tunavyochukua maji ila haanglii tunachukuaje..ye tunamletea tu..
siku ikafika hakuna mtu..nko na yeye tu.
kijana alienda na glasi anazunguka dispencer zaid ya mara tano.anapapasa juu mara nyuma mara kushoto kulia.
pheeew

nlimsaidia lakini.sikumuita mshamba

acheni hiyo tabia
 
reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,407
2,000
Leo nafurah nimepata msemo mpya jf, Eti mungu si Le lemutuz, hahaaa haki ya nani heri ukose device ya kuingia jf kuliko ukose jf yenyewe
 
Wimsha

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
518
500
habari wakuu..
haka katabia kamekuwa kawaida yetu .hivi hata kwa majirani zetu wakenya au waganda ipo?
unakuta mtu hajui kitu..labda katoka kijijini au hajawahi tumia/kuona kitu..utaskia mshamba huyu.

this isn't cool guys..
kwa kiasi fulani naona mtu kuitwa hivi inafedhehesha! hasa kama ni mtu mzima mbele ya watoto.

unamuita mshamba mwenzio we ulizaliwa unajua?
wewe pia ulikua hujui ukaja kujua!!

mi nimewahi kuwa ndani ya sebule moja na kijana mmoja kutoka nanjilinj mtwara ...kachaguliwa UDSM..alikua anatuona tu tunavyochukua maji ila haanglii tunachukuaje..ye tunamletea tu..
siku ikafika hakuna mtu..nko na yeye tu.
kijana alienda na glasi anazunguka dispencer zaid ya mara tano.anapapasa juu mara nyuma mara kushoto kulia.
pheeew

nlimsaidia lakini.sikumuita mshamba

acheni hiyo tabia
Hukutuita washamba lakini kwa uzi huu mulemule asee tunashukuru ngoja turudi mtwara
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom