chinatown
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,232
- 1,109
Habari zenu wanajamvi,
Kama kichwa kinavyojieleza ninapenda kumzunguzia vipindi vya tv na redio ambavyo ni live kwa watazamaji au wasikilizaji.kumekuwa na either upotoshaji katika mada ambayo inakuwa inawekwa mezani siku husika.
Ingelikuwa bora sana kama baadhi ya sms ambazo kwa upeo wenu au wa watu wengine mgelikuwa mnatoa muda wa kuwapigia na kuwauliza maswali baadhi ya watu walioandika sms ambazo zina utata,.
Mfano katika kipindi kimoja cha wiki hii kinachorushwa na television ya clouds media 360.
Kuna mada ilikuwa ikizungumziwa kuhusu huduma za afya katika hospitali ya mnazi mmoja zanzibar.Kuna kero nyingi saaana ziliongelewa ,na ni kweli mnazi mmoja kuna kero nyingi sana pale hospital, na kero hizi ni za asili .hakuna atakaye zimaliza hizi kero.
Naomba waandishi waende pale wakawahoji wafanyakazi then wanaweza andika uhalisia wa kero sio kuwasikiliza watu tu.
Serikali ya mapinduzi ina nia njema sana kwa watu wake kuhakikisha wanapata huduma pale bure.Lakini sina uhakika kama imejipanga kukabiriana na gharama za uendeshaji.
Mfano kusema ct scan bure maana yake mgonjwa mmoja serikali imuandalie ghalama zifuatazo pindi atakapokuwa ameandikiwa ct scan na dr wake;
1.films 3=18,000 @6000 bei ya sokoni hizi ni picha za mgonjwa aliyefanya kipimo cha ct scan
2. dye au contrast 1 ample au vial 100mls 100,000/ hii ni rangi ambayo mgonjwa anawekewa kwenye mishipa kwa ajiri ya uchunguzi wa kipimo chake.
Sasa hizi ni ghalama zisizo epukika kwa kila mgonjwa sasa suala linakuja Serikali inaweza?
Kwanini watu wasichangie pesa kidogo halafu wasio weza ndio wapimwe bure? na hili ndio ambalo linasababisha huduma za pale zinakuwa za msimu kwani Serikali haiwezi kuhudumia vitu hivi labda kisiasa.
Na sasa mnazi mmoja wana mpango wa kuanzisha huduma za mri bure hakika hiyo huduma haita dumu kwani ghalama za uendeshaji ni za juu sana
imagine kama mwenzio anatoa huduma kama hiyo harafu anachaji zaidi ya laki 5 (500,000/) harafu wewe unasema huduma bure kwa pesa ipi Tanzania?
So waandishi na watu wa media tuhuma zingine mnapashwa kwanza kuzifanyia utafiti kabla ya kurusha hewani.
Nawasilisha