Kila nyakati katika historia inapita, Ina uthamani wake na ina utofauti wake. Nyakati moja inaweza ikawa ndio mwanzo katika mabadiliko kwa nyakati nyingine ya kibinadamu, kiutawala, kiuchumi...
Mamlaka ya bandari nchini TPA imesema imeweka gharama za chini kabisa kwa wateja wanaotumia bandari hiyo ili kuhakikisha kuwa mizigo mingi zaidi inapita katika bandari ya Dar es Salaam na kuongeza...
Jiji letu nimepokea ugeni mkubwa kutoka China mji wa BENXI,ambao ni group la wawekezaji wa sector ya viwanda ,Madini na Utalii.Baada ya mazungumzo ya muda marefu tulibadilisha Investor's Guide...
Kama ambavyo mnagawa condoms bure mahospitalini, magesti vivo hivyo mgawe na pedi za bure jamani.
Always pads zilishushwa from 2000tshs to 1500tshs,cha ajabu wauzaji mmeng'ang'ana na kuuza...
Watanzania tunapenda kujikuza sana kielimu!Nafikiri kusini kwa jangwa la sahara ni sisi tu!Hata Wanaigeria wanaosifika kwa scams ,huwezi ukakuta mtu amefoji Phd maana wao elimu yao bado ni...
Kufanikiwa ni kupata / kufikia hitaji la moyo wako. Moyo wako ukiwa unahitaji BMW Na wewe ukapata Toyota Vits Basi hujafanikiwa, utakuwa umefanikiwa pale tu utakapopata BMW.
Ili kuyafikia...
Hatimae maombi na huruma ya kilio cha kusamehewa kwa Wasanii nguli wa Muziki Babu Seya na Papii Kocha kimesikika na wameachiwa huru kutoka katika Kifungo cha maisha. Nimesoma Hukumu iliyo watia...
POLISI mkoani Mara, Ephraim Lazaro (G- 1379), ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu anayedaiwa kuwa ni jambazi aliyekuwa ametoroka kutoka mahakamani zaidi ya mwezi mmoja uliopita na kufuatiliwa baada...
1: Usiache kusalimia uwapo Ufaransa
Kila unapotembelea nchi ya Ufaransa kumbuka kusalimia. Neno “Bonjour madame, monsieur” lazima liwe la mwanzo kutoka kinywani mwako, vinginevyo utachukuliwa...
Kufungwa jela sio jambo zuri kwa vyovyote vile kwakuwa ukishafungwa gerezani kuna wanaofurahia kufungwa kwako na kuna wanahuzunishwa na kufungwa kwako vilevile. Kifungo kikishakuwa cha muda mrefu...
Wadau!
nataka tufanye utafiti mdogo, kujua ni callcentre ipi kati ya callcentre zilizochini ya makampuni yalioyo Tanzania inatoa huduma nzuri sana! kumbuka tuangalie kwa mwaka 2017 achana na...
Kusamehe si jambo rahisi pale inapotokea mtu umetendewa vibaya na mtu fulani. Ila kama huyo aliyetendewa vibaya ni mcha Mungu, hakika kusamehe ni jambo rahisi sana.
Nelson Mandela alifungwa jela...
Kwa kipindi hiki watumiaji wa Bima za Afya wamekuwa wakipokea moja kwa moja ujumbe kwenye simu zao za mkononi kutoka NHIF kuwajisha kuwa Kadi zao za bima zimetumika. Kwa kutaja Tarehe; siku; muda...
Salum Njwete maarufu Scorpion akiwa chini ya ulinzi.
Kesi ya kumjeruhi mpaka kumtoboa macho kinyozi, Said Mrisho inayomkabili mwalimu wa sanaa ya kujihami, ‘Martial Arts’ na msanii wa filamu za...
Mume na mke wakazi wa kitongoji cha Kidogue wilayani Mkalama wamefariki dunia kwa madai ya kukatwa mapanga shingoni na kichwani na watu wasiojulikana.
Mauaji ya wanandoa hao, Kija Kitundu (53) na...
Wana bodi kama kichwa kinavyoeleza naomba mnisaidie kuhusu hawa Jamaa hivi sio matapeli hawa?
Maana juzi walikuja ofisini kwangu wakanishawishi kujiunga na huduma yao kweli nikashawishika na...
Kusema kweli,mimi ni mkazi mbuyuni nilianza taratibu za kutaka kupata huduma ya maji safi toka mwezi wa saba mwaka huu,jinsi walivyoslow wakaja kusurvey mwezi 9 majibu ya gharama yakatoka mwezi wa...
Kuna kamtindo kameanza siku hizi hasa msimu huu sikukuu zinavokaribia makondakta wa mabasi ya Arusha Dar wanakataa kupakia abiria wa Moshi. Na ikatokea ukipanda wana kauli chafu za kukera. Kuna...