Emma Mnyama
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 201
- 183
Baada ya rais Trump kutuita SHITHOLE, binafsi sikufurahishwa.
Lakini cha ajabu zaidi ni kuwa miongoni mwa wanajf kulishadadia hilo tusi kwa sababu ya mapungufu tuliyonayo.
Kwa mfano mtu akikosea , sehemu ikiwa na mapungufu au jambo lisipo tendeka vizuri utaskia "Trump hakukosea kutuita SHITHOLE".
Kwani yeye au wamarekani hawana mapungufu???!!
Watumiaji wa hii kauli nadhani mmenielewa. Haipendezi hata kidogo