Regional airlines kwanini zinaruka na rubani mmoja?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,674
Reaction score
3,741
Hili swali najiuliza sana hivi vindege vidogo vinavyoruka mikoani kama coastal,zana air auric kwann vinapaa na rubani mmoja? Hivi mfano siku rubani mmoja anapata tatizo angani itakuwaje? Mamlaka ya anga iwe serious
 
Umesikia wapi baiskeli ina waendeshaji wawili, mmoja akipata shida awepo wa spare!
 
Nadhani ni kwa vile ndege zenyewe si za kuruka masaa mengi bila kutua, hivyo rubani anatoka mwanzo wa safari hadi mwisho bila kuchoka kabisa.
 
Hili swali najiuliza sana hivi vindege vidogo vinavyoruka mikoani kama coastal,zana air auric kwann vinapaa na rubani mmoja? Hivi mfano siku rubani mmoja anapata tatizo angani itakuwaje? Mamlaka ya anga iwe serious
Mkuu umetushitua, hizo haziitwi regional airlines, ni charter planes.

Pia kwa charter planes ukitia shinikizo upewe marubani wawili kwa ajili ya usalama watakupa. Huwa wana-cut corners kwa kuwa watu hawafuatilii. Nadhani kuna sheria inayowataka wawe na marubani wawili ikiwa wamebeba abiria wanaolipa.
 
ndio.kanuni na sheria inavyotaka!coastal baada ya ajali mara mbili kwa muda mfupi sasa wanafuata huo utaratibu kwa zile scheduled flight ila hizi private charter naona mwendondio huo huo rubani mmoja pa kikorofisha mnagombea chutes kama mtapata hiyo nafasi!zaidi ya mara kadhaa nimekodi ndege kipeleka wageni wangu selous ,mikumi napata single pilot
 
Hili swala tulipigieni kelele wadau
 
Sasa kandege kama ni size ya taxi wakiweka marubani wawili abiria watakaa wapi?
 
Back
Top Bottom