Wanaume njooni mchukue majipu huku

Wanaume njooni mchukue majipu huku

BIGURUBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
6,748
Reaction score
4,258
Hii inatutokea sana wanaume, report ya mkemia mkuu inasema 70% ya wanaume tunalea watoto Wasio wetu!

0946de0202d61ed77188df593397aa3b.jpg
 
Ukishafikia uamuzi wa kupima DNA tayari kunakuwa na walakini. Hivyo wanaoenda kufuata huduma hiyo ni wahanga kwa asilimia kubwa.
 
Sio majipu. NDO UKWELI..!!! Wanawake mnakuwa mmechepuka...!!! Wanawake, hili sio la kujivunia, na wala sio sifa kwenu. Ni sifa za kijinga. Likikufika na kugundulika, utaelewa kwanini nasema hivi. All the best.
 
Back
Top Bottom