Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,979
- 9,450
jaman mie nina ndugu yangu aanastaafu disemba 2018
naomba kujua kama atalipwa kwa mfumo wa zaman au ndo atalipwa kwa mfumo mpya?
maana nimeambiwa formula mpya mtu atalipwa just 38% tu ya michango yake! huku ni kurudishana nyuma