Naomba Dkt Slaa apewe Rwanda au Uganda

Sueky

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
320
204
Salama lakini?
Binafsi nilitokea kumpenda sana Huyu dkt Slaa kipindi kile akiwa mwana siasa.

Hii ilichagizwa na Siasa zake na uwakilishaji wake wa Hoja zenye tafiti.

Napenda sana mtu wa data zenye tafiti za kutosha wakati wa kuongea kuwakilisha hoja.

Stlyle yake ya hotuba ilinivutia nimpende japo sikuwahi kumwamini hata siku moja sababu mimi huwa siamini wanasiasa.

Ningeomba Mheshimiwa Rais asimtupe mbali na Tanzania kimipaka.
Nasema hivyo kwasababu huyu ndugu Slaa bado anamachungu mengi sana na Taifa hili.Kilichompata ni ajali ya kisiasa.
Analo deni kubwa moyoni lakuwatumikia watanzania.

Huyu Ndugu angepewa wizara ningefurahi sana sana.
Najua anayo ndoto japokuwa siamini kama anaamini ataitimiza ndoto ndani ya CCM.
 
Nchi itakayomfaa ni ITALY, ISRAEL,VATICAN au UJERUMANI Kwasababu ya historia yake,lugha anaongea,kasoma au kaishi huko kwa hiyo ni rahisi kwa ushawishi
 
Salama lakini?
Binafsi nilitokea kumpenda sana Huyu dkt Slaa kipindi kile akiwa mwana siasa.

Hii ilichagizwa na Siasa zake na uwakilishaji wake wa Hoja zenye tafiti.

Napenda sana mtu wa data zenye tafiti za kutosha wakati wa kuongea kuwakilisha hoja.

Stlyle yake ya hotuba ilinivutia nimpende japo sikuwahi kumwamini hata siku moja sababu mimi huwa siamini wanasiasa.

Ningeomba Mheshimiwa Rais asimtupe mbali na Tanzania kimipaka.
Nasema hivyo kwasababu huyu ndugu Slaa bado anamachungu mengi sana na Taifa hili.Kilichompata ni ajali ya kisiasa.
Analo deni kubwa moyoni lakuwatumikia watanzania.

Huyu Ndugu angepewa wizara ningefrahi sana sana.
Najua anayo ndoto japokuwa siamini kama anaamini ataitimiza ndoto ndani ya CCM.
Ili Uwe unaenda kumpiga mizinga eeeh!
 
Mimi naomba aende Mbinguni tu akatuwakilishe huko na atuachie hii Dunia yetu tuhangaike nayo mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom