Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Msemaji wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Sheikh Khamis Mataka ameeleza kuwa ni kweli baraza hilo linakabiliwa na hali ngumu kifedha kiasi cha kushindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari zenu wapendwa, Takriban miezi minne sasa nimekua nikisikia matangazo tofauti tofauti yaliyoandaliwa kwaajili ya kuelimisha jamii kwamba SI KILA HOMA NI MALERIA...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina uhakika nguvu na Rasilimali tunazowekeza kwenye kuhudumia Wanyama wa porini, kama tungeiwekeza kwetu, maisha yetu yangekuwa bora zaidi kuliko yalivyo sasa hivi! Ukianzia kuwalinda, kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi?Ni zaidi ya mara moja nimekuwa nikinunua umeme kupitia M-Pesa na Tigo Pesa kisha sipokei ujumbe wenye Token na kunionesha kuwa nimenunua umeme.Baada ya kupiga simu huduma...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kila jambo lina faida na hasara zake. Pamoja na kuwa na kero nyingi sana kwa kutumia usafiri wa Daladala kwa mihangaiko ya kawaida pia kuna raha yake ya kutumia usafiri huu ukilinganisha na...
5 Reactions
113 Replies
16K Views
Hi great thinkers katika maisha tunakumbana na mambo mengi ikiwamo ya kuhuzunisha na kubakisha kumbukumbu isiyofutika. Binafsi sitasahau mwaka 1995 nilipopata ajali nikiwa na mama yangu mzazi na...
1 Reactions
4 Replies
975 Views
Tibaijuka aalikwa na serikali ya ujerumani kusherekea sikukuu yao ya kitaifa
5 Reactions
60 Replies
7K Views
Miaka ya nyuma shule za st.mery zilizoko tabata,mbagala,mbezi za mama rwakatare Zilikuwa zikisifika kwa elimu bora na wanafunzi kuongea kingereeza lakini siku hizi hazisikiki kama ilivyokuwa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za majukumu hapa jukwaani. Moja kwa moja kwenye mada.wanaJF,wandungu, ktk maisha watu hawalingani na msaada ni jambo la kawaida sana. Hata mwenye uwezo anaweza kuhitaji msaada wa maskini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naandika kutoka kimara kibo na maeneo ya jirani jamani maji hayatoki wiki ya pili hapa na maeneo ya jirani vyoo vinanuka maradhi ya mlipuko yanatunyemelea jamani tuokooeni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aliyekuwa askari wa Jeshi la Polisi, PC George Bisongoza (30), aliyefukuzwa kazi mwaka 2013, amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kusafirisha magunia 18 ya bangi yenye thamani ya Sh55.7...
1 Reactions
64 Replies
9K Views
Plot ambapo nyumba ya ibada ya Pool of Siloam imejengwa ni kiwanja ambacho Munuo ambaye anajiita Nabii Eliya alimdhulumu Mzee Kimambo ambaye alikuwa amejenga nyumba yake hapo. Munuo yalitumia...
9 Reactions
80 Replies
26K Views
Habari za hapa!! Nimejaribu kuangalia , kwa wale wahudhuriaji wa kanisani kuna jamaa aisee hawakosi kanisani, duh mvua, jua, alale saa nane siku jumamosi, jumapili ataamkia kanisani asubuhi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajf. Nitasafiri na familia kwenda Mwanza, nimepanga kulala Nzega na familia kabla sijaendelea kesho yake Mwanza. Najua JF members wametapakaa nchi nzima na hata nje ya nchi. Naomba...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
wakuu. jah Bless. kua rastafarian ni imani tu iliyo ndani ya moyo na kile unachowaza japo kuna miiko kwenye imani yetu, Imani hii haina ubaguzi kabisa ni imani ya kuamini katika usawa na kuheshimu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
[emoji7] [emoji7] [emoji7]
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habar waja Jf? hope kila mtu ni mzima wa afya Nimeona tatizo katika jamii zetu hasa sisi vijana katika utafutaji wa pesa tumekuwa watu wa MIHEMKO a.k.a tumekua kama bendera tunafata upepo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umoja wa Mataifa (UN) umesema utatoa ushirikiano wa kutosha ili kufanikisha uchunguzi kuhusu tukio la kuuawa Wanajeshi 14 wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani huko DR Congo. Aidha, UN imesema...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Dawa za LIFE SELI zinatengenezwa Kinondoni kwa Manyanya. Nimejaribu dawa zake. Kuku wangu kila nikiwapa wanapata matege na kupofuka macho. Najiuliza hivi wizara ya mifugo iko wapi! Hawa waganga wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…