Dawa ya Nyoka ni nyoka

Dawa ya Nyoka ni nyoka

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,601
Reaction score
167,387
Wanasayansi wa Uingereza wanasema kuwa wanatengeneza dawa kwa watu wanaotafunwa na nyoka wenye sumu kali, katika nchi za Afrika kusini ya Sahara.
Watafiti katika chuo kikuu cha matibabu ya magonjwa ya nchi za joto cha Liverpool, wanakusanya protini kutoka sumu za nyoka wakali kama 400 na wataongeza kemikali ili dawa iweze kuhimili joto.
Wananyonya sumu ya nyoka kama 80 kila wiki.
Inakisiwa kuwa watu 30,000 wanakufa kila mwaka kwa sababu ya kutafunwa na nyoka.
 
Huko ndipo duniani ambapo watu wanaishi na serikali inawathamini watu wake kupitia kodi zao......

Huku mamlaka hazijishughulishi na vifo vya raia wake kwani huku kifo chochote ni mipango ya Mungu tu.....mpaka akifa kiongozi wa serikali......
 
Mungu anasingiziwa ssna
 
Mungu anasingiziwa mengi
 
Back
Top Bottom