Jc Simba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 300
- 427
Kwanza niwapongeze waliofanya Kazi ya kuhakiki majina ya wanaodai serikali yetu tukufu pamoja na mapungufu yanayoonekana kwenye Kazi hiyo ila ndio ubinadamu wenyewe.
Nafikiri kabla ya kuikabidhi Kazi hii ingehakikiwa vizuri ili isijekuwa kama vile vitabu vya Taasisi ya Elimu ambavyo nilikua na makosa lukuki na kuwa hasara kwa Taifa letu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo kuna tatizo linaloonekana wazi la uhakiki huu maana baadhi ya majina yanaonekana kujirudia kama inavyoonekana hapo kwa screenshot.
Nafikiri huu ni mfano mmoja tu ikifanyiwa Kazi vizuri bado wanaweza kukutwa na wengine ambao majina yamejirudia.
Tunapofanya hizi Kazi tuwe makini na ikiwezekana turudie kuzihakiki Mara nyingi iwezekanavyo ili kupunguza makosa ya kibinadamu kama haya.
Mbaya zaidi linapokua ni suala la kitaifa kuna haja ya kuongeza umakini zaidi ili kuondoa utata na mkanganyiko wowote kutokea.