Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

TANZIA: BURIANI MZEE PANJA Mzee anayeaminika kuwa na umri mkubwa zaidi nchini, Ambilike Panja mkazi wa Ihanda wilaya ya Mbozi mkoani Songwe amefariki dunia akiwa na miaka 127. Mtoto mkubwa wa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Kumekua na kawaida kwa watu wanopandisha majini au mashetani au maruhani au mizimu kudai au kudaiwa kua na uwezo wa kuzungumza lugha ngeni isiyofahamika na yule mtu ambae jini linapanda kichwani...
1 Reactions
19 Replies
10K Views
Hivi hapo UDSM hakuna dressing Code?Mavazi wanayovaa baadhi ya wanafunzi hayana maadili.Chuo kikuu ni Taasisi nyeti na yenye heshima kwenye jamii.Suala la mavazi liangaliwe.
5 Reactions
89 Replies
19K Views
Mahakama Kuu imemuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda katika rufaa iliyokatwa na Jamhuri kupinga hukumu ya Mahakama ya Morogoro iliyokuwa imemuachia huru...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Juzi nilinuia kuwashtaki kwa mh Mbarawa hatimae jana mkandarasi angalau ameonyesha kuwajibika. Nimetaarifiwa kuwa jana kuanzia mchana hadi usiku wa manane alianza kutengeneza kile kipande.Jambo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Lushoto imewatia mbaroni watu wawili akiwemo askari mstaafu wa Jeshi la wananchi Sheubua Sempeho pamoja na mwalimu wa shule ya sekondari Edwin Sempeho kwa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau, nipo bank na runinga ya inaoneshaTBC wakionesha laivu mkutano wa CCM unaoendelea pale DODOMA, na waziri mkuu ndo anaongea ss hv. Ambacho sijaelewa ni kwamba, huu ni mkutano wa CCM KAMA...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari WanaJf Jamani nauliza, kwa waliowahi kufikwa na adha hii au wanaofahamu; unaweza kukutana na mtu labda anaishi mitaa yenu ukamchukia bila sababu, ilihali hajawahi hata kukusemesha, hana...
6 Reactions
99 Replies
20K Views
Najaribu kujiuliza tu,huu uhamisho unaendelea wa watumishi wa umma.huku wengi wao wakihama bila familia zao.yaani wanaacha waume au wake zao pamoja na watoto wao hapa Dar.hii ni kutokana na hali...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] .
0 Reactions
3 Replies
644 Views
Naona Takukuru ya sasa imenoa meno! Mwanasheria wa Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira(NEMC), Bernard Kongola na Polisi wawili wa kituo cha Mbweni wanashikiliwa na TAKUKURU kwa mada ya kuomba...
6 Reactions
52 Replies
10K Views
Naibu Waziri wa ujenzi Elias Kwandikwa awataka wakandarasi kuwa waadilifu na wazalendo,pia aamuru kuvunjwa jengo la ghorofa lililojengwa jirani na uwanja wa ndege. Ukarabati wa ujenzi wa barabara...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana JF Kwa masikitiko kabisa naomba niwasilishe hii hoja chungu. Taifa letu limejaa watu wanafki na wenye husda. Ni jambo la kawaida kabisa kuona watu wakimshangilia kiongozi...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Sikio la kufa kweli haliskii dawa! Kuna jamaa anaitwa Deus ambaye ni miongoni mwa wanufaika wa msamaha wa Rais Magufuli kafanya balaa tena huko mtaani baada ya kuachiwa hivyo kapigwa tena nyundo...
2 Reactions
75 Replies
12K Views
Binafsi nafahamu nafahamu miradi kadhaa ya NSSF ambayo bila shaka inawaingizia mapato ya uhakika na ya sio na shaka kwa shirika la NSSF; mfano: 1.) Michango ya wanachama 1.1) Daraja la Kigamboni...
0 Reactions
3 Replies
835 Views
Habari za mihangaiko wanajamii wenzangu. Kama mnavyojua Watanzania wenzangu tunaomboleza msiba ambao sio mdogo. Labda nieleze moja kwa moja. Leo mida ya mchana kuna mwanajeshi wa Congo (FARDC)...
3 Reactions
66 Replies
18K Views
Chama cha Walimu Tanzania kilianzishwa mwaka 1993 kwa lengo la kutetea haki za walimu Tanzania,Mwalimu yoyote by default anakua ni mwanachama wa chama cha Walimu Tanzania (CWT). Kila mwezi walimu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Uzi maalumu kwa wana JF walio zaliwa Mkoa wa Tanga hata kama haupo Tanga ila Tanga ndio Nyumbani basi husika Hapa,Dhumuni ni kufahamiana. Tanga ndio mji unaoendelea kwa kasi Tanzania akiachana...
23 Reactions
211 Replies
29K Views
Fidelis Butahe, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Unaweza kusema mwaka 2017 ulianza na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Siyo siri kuna mambo ukiyasikia unatamani kuziba MASIKIO usiyasikie unatamani usizungumze na mtu kwa sababu unazungumza na MTU anakuambia mambo Yale Yale usiyopenda kusikia una pita sehemu...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…