Mapato na matumizi ya NSSF kwa mwaka wa 2017

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,801
Reaction score
46,923
Binafsi nafahamu nafahamu miradi kadhaa ya NSSF ambayo bila shaka inawaingizia mapato ya uhakika na ya sio na shaka kwa shirika la NSSF; mfano:
1.) Michango ya wanachama
1.1) Daraja la Kigamboni
2.) Jengo la NSSF lililopo redcross
3.) Jengo la NSSF ilala boma
4.) Mzizima towers
5.) Housing projects mbalimbali

Nina shauku ya kujua kwamba hivi vyanzo vyote huwa vinaingiza kiasi gani kwa mwaka, na matumizi ya kawaida (recurrent expenditure) ni kiasi gani, na salio (net income) ni kiasi gani? Kuna mtu yeyote anaejua humu kweli?
 
Hakuna
 
Back
Top Bottom