beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,881
- 6,377
Naona Takukuru ya sasa imenoa meno!
Mwanasheria wa Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira(NEMC), Bernard Kongola na Polisi wawili wa kituo cha Mbweni wanashikiliwa na TAKUKURU kwa mada ya kuomba Rushwa ya Shilingi milioni 1 kutoka kwa Mkalimani binafsi wa Kiwanda cha Yong Long Plastic Co. Ltd
Watu wa vitengo amkeni, acheni michezo ya Rushwa. Nyakati zime-change!