Habari wadau
Niende moja kwa moja kwenye mada
Hii halmashauri watendaji wake ni wabovu sana katika ofisi ya mkurugenzi
Nilichokiona pale ni kujuana,undugu na rushwa vimetamalaki
Binafsi nimekua...
Leo nimefika tanesco kwa ajili ya kufatilia utaratibu waliouweka mpya wa kukusanya madeni kwa wadaiwa.Kifupi utaratibu huu ni gunia la misumari kwa watu wa kipato cha chini na hasa ukizingatia kwa...
Mamlaka ya Mapato nchini kupitia kampuni ya Yono Aunction Mart imeendesha mnada wa magari 140 yaliyotelekezwa bandarini.
Licha ya watu wengi kujitokeza kwenye mnada huo uligubikwa na malalamiko...
Habari wakuu,
Kichwa chajieleza hapo juu,
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni nimeajiriwa miezi 6 ilopita, kutokana na ugeni wa eneo ninaloishi hua nikitoka kazini nakua nipo tuu sina cha kufanya...
Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Chikopelo Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, Mwanaidi Yakobo ni miongoni mwa mamia ya wanafunzi wasichana nchini wanaopitia changamoto za kukosa...
Pesa huwa zimeishia kwenye bata za sikukuu na kwa kutembelea familia zetu na ukweni.
Ada za watoto na kodi za hapa na pale.
Nini kifanyike kujinasua na taabu za mwezi january? Wapi tunakosea.
DC Sumbawanga Dkt. Khalifan Haule, amepiga marufuku biashara ya chakula (mama lishe), biashara ya pombe za kienyeji, harusi pamoja na kupika chakula misibani katika eneo la Muze na Mtowisa...
Hoja yangu ipo hapa Mfungwa yeyote ambae sio raia wa Tanzania akitoka ama kuachiwa gerezani anakabidhiwa kwa Ubalozi wa nchi yake au anatakaiwa kuondoka nchini mwenyewe kama uwezo anao.
Kwa kina...
Husika na kichwa cha habari
Nilipewa jina la kienyeji na wazazi ambapo kwa maana yake katika Jamii sio nzuri.
Kila nikijitambulisha lazma nikejeliwe. Sio mtu mzima, hata wadogo. Huwa naogopa...
Ni wamawake wachache ambao hupatwa na matatizo ya mshtuko wa moyo wanaoweza kufa ikiwa watapata matibabu sawa na yale wanayopewa wanaume, uchunguzi umeonyesha.
Utafiti huo uliangazia matokeo ya...
Uyole Mbeya,Hoteli ya Westpine iliyojengwa hivi karibuni kajengo kake ka mbele na fence viliwekwa X wakati Wa ujenzi.Lakini baadaye kidogo aliendeleza Ujenzi na sasa amewekewa alama ya X ya...
Jana tuliendelea na zoezi la uwekaji mpaka baina ya eneo la hifadhi ya bonde la Ardhi Oevu la Kilombero na eneo la vijiji katika wilaya ya Malinyi, mkoani Morogoro.
Pamoja na kuambiwa kuwa...
Kwanza kabisa nianze kwa kuhisifia dstv kwa huduma nzuri pale unapo subscribe your account.picture ni clear,programs full HD.balaa linaanza kifurushi chako kinapoisha,licha ya maelekezo mazuri ya...
Wakuu nimesoma muundo wa kampuni ya mabasi UDART kwamba kampuni ya Simon group inamiliki asilimia 51.
Kwa upande wa pili serikali na umoja wa wenye daladala kwa pamoja wanamiliki asilimia 49...
WanaJF,
Mimi namfahamu Prof. Rwekaza Mukandala kama ifuatavyo, na wewe unamfahamuje?
1. Ni Prof. wa ukweli wa Political Science.
2. Ni mwanzilishi wa REDET.
3. Ni mtu mzuri sana ktk utendaji...
Kundi la watu lilikwenda mahala wakakuta mawe yamezagaa. Ghafla wakasikia sauti ikisema, "Atakaeokota atajuta na asiyeokota atajuta".
Baadhi yao wakaokota na wengine hawakuokota, wakarudi...
£20m Lottery Winner Found In Concrete Grave
A lottery winner who repeatedly told his family "I'd have been better off broke" has been found buried five-feet deep under a concrete slab...
Kuuliza si ujinga!
Gazeti la Nipashe, page 5, inamuonyesha Waziri wa Mifugo na Uvuvi akiwa anevaa jaketi la combat fatigue.
Wizara ya Ulinzi na hata Mambo ya ndani wanetia maramko mengi kupiga...
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi ameamuru tani 65 za Samaki zenye thamani ya shilingi milioni 200 zitaifishwe na hapo hapo ameamuru Samaki hao wauziwe watu wenye leseni ya kusafirisha kwenda nje...