Habari zenu Wanajamvi.
Eti ile project ya Coco beach/Oysterbay/Kenyatta-Toure Drive imefikia wapi tulioaminishwa na michoro mwanzoni wa 2016? Ilkuwa ikidhaminiwa na Tanzania Investment Bank...
Habarini wanaJF,
Kuna baadhi ya wapangaji wanakosa ustaarabu kabisa na kuwa kero kwa wengine.
Mojawapo ya kero unakuta mpangaji ameweka sauti ya redio juu,kwa kweli mi binafsi nashindwa kuelewa...
Wakuu habari zenu, niende moja kwa moja kwenye hoja;
Kile kinachoendelea kwa sasa Kinondoni juu ya kampeni za siasa(jina la Chama kapuni) kimekuwa aibu kwa watu wazima wenye maadili yao...
Mtoto mwenye umri wa miaka Mitano Jazaka Mussa, ameuawa kikatili kwa kukatwa na Panga kichwani na mtu asiyefahamika katika kijiji cha Lipwidi, halmashauri ya wilaya ya Mtwara.
Akithibitisha...
Najiuliza, hivi spika na waziri mkuu nao si wabunge? Hawana haki ya kuuliza swali kwa mawaziri? Naomba kujuzwa Japo nafahamu kuwa kutumikia wapiga kura wako sio lazima uulize swali bungeni.
Mimi binafsi sipendezwi kabisa na jinsi watangazaji wa kipindi cha Jahazi katika redio ya Clouds FM jinsi wanavyoizungumzia Dume Condom katika namna ambayo inaonekana wazi ni ya kuchochea ngono...
Msaaaaada tafadhari.
nimekuwa nikimsikiliza nape kwa makini , sijahi kubahatika kumuelewa , na pia shida hiyo hiyo nayopata kwa nape , pia nilikuwa naipata kwa Tabwe hiza . sasa naomba msaada...
habar wadau..naomba wajuzi na waalim waje watupe maoni
kuna binti katulia ni mwalimu japo ajira bado..lakini najiuliza kwenye kulea watoto anaweza kulea bila mfanyakazi(au kijakazi kwa mujibu wa...
Nimekuwa nikifuatilia sana Taarifa ya Habari ya itv tangu kampeni za uchaguzi za jimbo la kinondoni itv haijawahi kutoa Taarifa za mgombea Cuf...
Mara mnamtambulisha Salim Mwalim kuwa ni mgombea...
Anasa za mtandaoni na anasa za usasa.
Niliwahi kusema nyuma kuwa chunga sana maisha yako mtandaoni maana maisha haya hudumu bila wewe kujua.
Hutaweza kufuta kila kitu katika nyakati ambazo...
Jana nikiwa kwenye mwendokasi natoka zangu kwenye shughuli zangu nimejichokea nawaza familia plus namna ya kuitafuta grisi, pembeni kulikua na wanafunzi kama wanne hivi wa kiume na kwa muonekano...
Dkt. Juma Mwaka wa Foreplan Herbal Clinic ambaye alikuwa anatoa huduma ya dawa za asili aliyefungiwa kwa kosa la kutangaza biashara hiyo arudi kivingine.
Leo naona anaendelea na matangazo Chanel...
Haya ni maajabu ya Mungu ya ukweli unaweza kuweka Yai na ndani ya sekunde kumi tu likawa limeiva kabisa tayari Kwa MLO.
Wenyeji wanairegard hii Kama sehemu ya mzimu hatari Kwa sababu sehemu kubwa...
Bismillah Rahman Rahiim,
Ndugu katika Iman. Assalamu alaykum warahmatullah wabarakatuh. Nimekuja kuandika hapa kuhusiana na kadhia inayoendelea mitandaoni kuhusu Viongozi wetu wa BAKWATA. Huu ni...
Katika hali ya kushangaza kwenye habari za magazeti badala ya kuweka ya leo yeye katukwekea ya februari 01 title ya magazeti kaandika ya februari 07,yani amechanganya madesa leo vibaya mno au...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba ameteketeza jumla ya ekari sita za bangi zilizokuwa zimelimwa katikati ya msitu ndani ya kijiji cha Engalaoni wilayani Arumeru mkoani Arusha...
SALAMU KWENU NYOTE,
tangu elimu bure imeanzishwa inchini hapa je kuna utofauti wa tija na wakati Elimu ni ya malipo katika uwepo wa (na) .
1, vitabu
2.matokeo.taaruma
3.madarasa
4.je wanafunzi...
Mungu si Athmani! Mungu ni mkubwa sana. Kila kitu kizuri kinawezekana kwake.
Nimekuwa mkereketwa sana wa pombe na mademu (Si wabaya si wazuri.Si wanene si wembamba.Si weupe si weusi) lakini sasa...
Habari wakuu natumaini mko poa kabisa na wazima kiafya, napenda kutoa shukrani zangu kwa kila mtu alpianichangia pesa ya nauli ya kwenda chuo ili niweze kufanya mitihani ya kumalizia semister ya...