Millard Ayo anahujumiwa?

Millard Ayo anahujumiwa?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,462
Katika hali ya kushangaza kwenye habari za magazeti badala ya kuweka ya leo yeye katukwekea ya februari 01 title ya magazeti kaandika ya februari 07,yani amechanganya madesa leo vibaya mno au sijui hang over?[emoji2]
2018-02-08_06.01.35.jpg
 
Kuna kukosea Mkuu hujawah kupost picha kinakosa hata kwenye WhatsApp groups?
 
Ha ha haaa.., kawauza, ila baada ya muda atawaambia kilichotokea!
 
Amegeuka wauza magazeti Wa ubungo..ukifanya mchezo unauziwa kasheshe LA 2001! haha
 
Back
Top Bottom