Kero tunazopata kwenye Nyumba za kupanga

Mwambie kistaarabu kwamba sauti ya redio ni kubwa na inakukera..akijifanya kichwa ngumu na wewe subiria muda wake wa kupumzika uweke sauti ya redio juu zaidi ya ile aloweka yeye!
 
pole sana mkuu uswahilini kazi kweli kweli sijui wanapiga chabo stimu ipande wakacheze mechi yao au wakapige PU.NYE.TO. uswazi lol.

Aisee mie kero kubwa ni kupigwa chabo ninapokua nabinuana na mama watoto ndani aiseee....

Yaani inabidi kila baada ya dakika kama tano nikahakikishe dirishani hakuna anayekula show ya bure
 
Huwezi kujua, labda sauti kubwa ya redio ina maana ya kuzuia msisikie sauti nyingine wakati wenye chumba wako kwenye shughuli maalum! Chabo si kuona tu, hata kusikia pia.
 
Kero ya nyumba ya kupanga ni ile mama mwenye nyumba anakugongea mlango alfajiri akikuamuru ukasafishe choo.
 
jamaa Ndio umeanza kupanga mpaka huu ...? fanya kero hizo ziwechangamoto kwako sio kutupigia kelele wapangaji wazoefu.....
 
hakuna kero kama kukuta mwenye nyumba ni mzee wa busara "mchawi"
 
Kero kubwa ni ile baba/mama mwenye nyumba kuombaomba sh 2000 muda mwingine 5000 tena mara nyingi wakati pango nalipa kama kawaida.
 
Kero ni pale jitu zima kila siku linagona kuomba kitunguu kisu mboga au kuazima pasi na akishamaliza harudishi mpaka umkumbushe.
 
Nimepanga chumba,Masharti niliyoyakuta nimeshachoka kuishi katika hii nyumba.

Kinachonichosha ni hiki wanakata umeme asubuhi saa mbili kuwasha saa kumi na mbili jioni.

Nilipokuwa nalipa kodi sikuambiwa mpaka mimi nilipoanza kuulizia kwa sababu kutokana na kazi yangu nachelewa kulala na kuamka pia.
 
Hahaha, wengine wanakuambia mwisho wa kuoga ni saa mbili jioni

Na huruhusiwi kupika nyama jumatatu
Juzi kuna gari lilikua limebeba kuku broiler limepata ajali. Mimi nikaokota kuku saba kufika nyumbani nikamgawia mama mwenye nyumba wawili. mpangaji mwenzangu wawili na mimi watatu. baba mwenye nyumba aliposikia nimempa mkewe kuku wawili tena wazima. Aliwaka kama kifuu lakini kuku alikula. huyu mpangaji mwenzangu alihisi mkewe ni mchepuko wangu. alihama kesho yake na vijembe viingi tu. Baba mwenye nyumba haniamini tena.
 
Mkuu kwa kamba upo vizur...keekee kee
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom