positive is normal
JF-Expert Member
- Dec 25, 2017
- 520
- 978
Habari wakuu natumaini mko poa kabisa na wazima kiafya, napenda kutoa shukrani zangu kwa kila mtu alpianichangia pesa ya nauli ya kwenda chuo ili niweze kufanya mitihani ya kumalizia semister ya kwanza,nilihitaji atleast elfu kumi ila nimepata zaidi nawashukuru wote wakuu,
Mada yenyewe iko hapa: Msaada wako tafadhali,naanza jumatatu mitihani ya kumaliza semister ya kwanza ila mpaka sasa nimekwama nauli ya chuo
mwanzo nilisita kutaja jina langu kwa sababu nilishaeleza huko siku za nyuma kwamba naishi na Virusi vya ukimwi na nilizaliwa navyo,kama ningetaja jina langu kamili basi naamini watu wangenifahamu na hata wengine wangeninyooshea vidole huko chuoni kwa kuwa muathirika wa ukimwi,siogopi kabisa kuwa muathirika ila naogopa kunyanyapaliwa na kutengwa na watu maana ingeweze kuniathiri kisaikolojia wakuu
Shukrani za dhati kabisa wakuu kwa kila aliyenichangia na hata ambao hawakunichangia lakini walitaka kufanya hivyo ila uchumi ulikwama, shukrani pia kwa kwa uliyenipigia na kunikebehi na maneno ya kejeli Mungu akubariki screenshot yako nitaiweka hapa,
Shukrani za dhati kwa mlionipigia na kunitia moyo na wengine mkanitumia pesa, MUNGU awabariki na awazidishie wote, kuna aliyenitumia 10,000 Mungu akubariki mkuu, pia kuna aliyenitumia elfu 20,000 mama Eva Mungu akuzidishie na kuna aliyenichangia 30,000 MUNGU akuzidishie mkuu sitokutaja maana hukutaka nikutaje ila ubarikiwe sana na hata yule aliyetaka kunichangia ila alikosa Mungu ambariki pia na amzidishe pia
Naanza mitihani jumatatu namaliza ijumaa, pesa mlionipa itanitosha kabisa wakuu,na nitasoma kwa bidii kwani hata darasani niko vizuri tu,japo kuna member aliniita mimi bashite kisa nilikataa kutaja jina langu
Shukrani za dhati kwenu, kwenye uzi uliopita nimefuta namba yangu ya simu ili kuepuka watu wasinichangie tena pia nimefuta na Registration number yangu ya chuo
Shukrani kwenu wakuu mbarikiwe sana
Comment zenu nitazijibu ijumaa coz najiandaa na mitihani pia najua wapo pia watakaonikejeli hata hapa ndio maana zote nitazijibu ijumaa baada ya kumaliza mitihani ili kukwepa stress zisizo na msingi
Mbarikiwe sana