Asante Mungu nimefanikiwa kuachana na pombe na wanawake

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Mungu si Athmani! Mungu ni mkubwa sana. Kila kitu kizuri kinawezekana kwake.

Nimekuwa mkereketwa sana wa pombe na mademu (Si wabaya si wazuri.Si wanene si wembamba.Si weupe si weusi) lakini sasa nimefanikiwa kuacha kabisa!

Hivyo vitu ni hatari sana kwa afya yetu sote.Tuvikane kabisa!

Mungu mkubwa sana.
 
Vyuma vimekaza mbona tutaacha tu unadhani kuhonga mchezo na kununua bia awamu hii inataka ujasiri hasa,tangulia tu siku yakibana nitajiunga na chama lenu.
 
Umefulia halafu unajifariji umeacha ulevi, acha ulevi ukiwa na Pesa ndo uache
 
Mungu si Athmani! Mungu ni mkubwa sana. Kila kitu kizuri kinawezekana kwake.

Nimekuwa mkereketwa sana wa pombe na mademu (Si wabaya si wazuri.Si wanene si wembamba.Si weupe si weusi) lakini sasa nimefanikiwa kuacha kabisa!

Hivyo vitu ni hatari sana kwa afya yetu sote.Tuvikane kabisa!

Mungu mkubwa sana.
Pombesawa wanawake subiri mdawake ukifika
 
Umewezaje kutengana na K, me pombe pia nimefanikiwa ila K ndio tatzo, em toa muongozo hapo.
 
Kwa wanawake sawa ila kuhusu pombe sikuungi mkono japo mi siyo mfuasi wa nabii titto masanga
 
Mungu si Athmani! Mungu ni mkubwa sana. Kila kitu kizuri kinawezekana kwake.

Nimekuwa mkereketwa sana wa pombe na mademu (Si wabaya si wazuri.Si wanene si wembamba.Si weupe si weusi) lakini sasa nimefanikiwa kuacha kabisa!

Hivyo vitu ni hatari sana kwa afya yetu sote.Tuvikane kabisa!

Mungu mkubwa sana.
God is good all the time
 
Usiwe kama Mwanangu mmoja hivi, yeye akiwa hana kitu anaanze kuonekana hadi kanisani, kosa apate pesa tu anapotea mtaani mpaka ziishe.
 
Back
Top Bottom