Dr. Juma Mwaka arudi kivingine katika biashara

Dr. Juma Mwaka arudi kivingine katika biashara

byembalilwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2012
Posts
2,066
Reaction score
951
Dkt. Juma Mwaka wa Foreplan Herbal Clinic ambaye alikuwa anatoa huduma ya dawa za asili aliyefungiwa kwa kosa la kutangaza biashara hiyo arudi kivingine.

Leo naona anaendelea na matangazo Chanel ten.

Mwanzoni alikuwa anapatikana maeneo ya Ilala Bungoni ila sasa inavyoonyesha anapatikana ubungo plaza.

Pia anapatikana kupitia namba 0758100100
 
kigwangala mwaka huyo
wamama mwaka mwaka mwaka mwaka mwaka mwaka mwaka mwaka mwaka mwaka mwaka mwaka mwaka
 
Back
Top Bottom