Replies
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,497
- 453
Just Baada ya mbuga Za wanyama Za Selous panaitwa Kisaki on your way to Zambia via rail
nataka kwenda na gari langu. napitia wapi ?
nataka kwenda na gari langu. napitia wapi ?
Haya ni maajabu ya Mungu ya ukweli unaweza kuweka Yai na ndani ya sekunde kumi tu likawa limeiva kabisa tayari Kwa MLO.
Wenyeji wanairegard hii Kama sehemu ya mzimu hatari Kwa sababu sehemu kubwa imezungukwa na chem chem Za maji moto
Au alimaanisha DkUnaivisha yai kwa kuchovya kwa sekunde kumi!!? sioni ukweli wowote hata ingekuwa kwa moto wa welding au kuchoma kwa gas haiwezekani
Anafananisha na lake manyara pale yai unaweka ten-15 minutes..BTW hayo maji yanatoka kwenyw miamba ya volcano na yana kiwango kikubwa cha sulfur na kwa wenye magonjwa ya ngozi huwasaidia!Unaivisha yai kwa kuchovya kwa sekunde kumi!!? sioni ukweli wowote hata ingekuwa kwa moto wa welding au kuchoma kwa gas haiwezekani
Anafananisha na lake manyara pale yai unaweka ten-15 minutes..BTW hayo maji yanatoka kwenyw miamba ya volcano na yana kiwango kikubwa cha sulfur na kwa wenye magonjwa ya ngozi huwasaidia!
Haha Uzi Wa 2014 mkuu!Possibly hakujipanga vema kabla hajaandika
Lakini pia anaweza kuwa ni miongoni mwa wale tulioonywa dhidi yao humu jamvini, unampm unakwenda kuishia kwenye viroba
Haha Uzi Wa 2014 mkuu!