Maoni Yako: Je elimu bure inaleta tija ?

Maoni Yako: Je elimu bure inaleta tija ?

Sanyambila

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
403
Reaction score
537
SALAMU KWENU NYOTE,
tangu elimu bure imeanzishwa inchini hapa je kuna utofauti wa tija na wakati Elimu ni ya malipo katika uwepo wa (na) .
1, vitabu
2.matokeo.taaruma
3.madarasa
4.je wanafunzi wanapenda shule
5.utoro vp
6.ari ya walimu inaridhisha
najua wadau tuna majibu toa maoni yako kipengele chochote
au waweza ongezea ili tuwasaidie watekeleza sera kujitathimini
.........................................................................................
mimi binafsi nimeona idadi kubwa ya wanafunzi,na madawati yameongezwa matokeo au taaruma
ileile labda siasa hadi kwa wanafunzi na wazazi wao ndo imetawala awamu hiii...
 
Binafsi nimezidi kuona walimu wakunung’unika sana na kuishiwa ari
 
mishahara haipandi ,au siyoooo
Jumlisha na hilo, makato ya bodi ya mkopo na wageni wa kila siku kuchunguza shule. Nakumbuka ile nyimbo ya r.c “nimekuwa kama ndege mimi....”
 
Jumlisha na hilo, makato ya bodi ya mkopo na wageni wa kila siku kuchunguza shule. Nakumbuka ile nyimbo ya r.c “nimekuwa kama ndege mimi....”
aaaaaaaaaaaaaaaaaahahhahha
 
Back
Top Bottom