Najua kuna watu watanipinga lakini ukweli ni kwamba kuhusu hawa watu wanaotokea jamii ya watusi.
Ambao asilimia kubwa wanapatikana maeneo ya ukanda wa maziwa makuu,kanda ya ziwa nchini,kigoma...
Wakuu,habari ya mapumziko (waliopumzika)habari ya majukumu(wanaoendelea na kazi)?
Mimi ni muajiriwa ninafanya kazi Dar es salaam.Bado sijajijenga sana,ofisi imeamua kuniamishia Dodoma,natafakari...
Wakuu sina sababu ya kuwatusi wataalamu wetu katika Nyanja ya ubunifu na ujenzi serikalini lakini nimekuwa najiuliza maswali ambayo siku zote kwangu haina majibu.! Hivi tatizo letu kubwa ni nini...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amewasilisha majina ya viongozi wa halmashauri ambazo hazijaanza kutekeleza zoezi hilo kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
katika likizo ya mhula wa kwanza miaka ya 90- nilipewa pesa kiasi cha sh2000 nikajinunulie sare za shule kaptura 1000+1000 shati
Njia iliyokuwa inaingia sokoni kwa upande wa nilikotokea kulikuwa...
Wanabodi nimeona hii tabia inakuwa sana hasa kwa familia za mijini,sasa sielewi kwamba ni usasa ama vipi!!Hii tabia ya wazazi kuwapa watoto wachezee simu eti gemu!!hivi hizi simu si zina mionzi,je...
Je umewahi kujikuta unafanya maamuzi yanayokukosesha raha ,,, unajikuta unafanya jambo moja kisha unaacha na kurukia lingine ,,,,, unafanya biashara hii kabla haijawa sawa unaaacha na kuamia...
Volkswagen banks on ride hailing service to sell cars in Rwanda
SATURDAY JANUARY 20 2018
A Volkswagen production line at the Kenya Vehicles Manufactures (KVM) in Thika. The German carmaker...
>> Msamaha ni neno dogo sana lakini linabeba uzito zaidi ya tani mia moja ......... kusema samahni kunaweza kukuon gezea thamani kubwa isiyo elezeke... samaahani yaweza rudisha mahusiano yaliyo...
Waandishi wa habari tumuunge mkono Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni Salum Mwalim kwa ajili ya maendeleo yetu.
Anaandika Christina Mwagala
Jana kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
Mara nyingi sana kwa wanaotumia usafiri wa daladala katika pilika pilika za kusaka tonge hapa mjini ambapo kuna kiwango fulani cha nauli kilichowekwa na SUMATRA kulingana na umbali wa sehemu moja...
Wadau,
Kwa mujibu wa mimi mwenyewe na Facilitators wangu walioko Ofisi za uhamisho jijini Arusha ni kwamba Ofisi za Uhamiaji jijini Dar es Salaam/Serikali haina vitabu vya Passport kubwa na Stock...
KUSOMA VITABU VINGI KWA MUDA MFUPI.
********************************************
Baada ya kuweka listi yangu ya vitabu nilivyosoma mwaka jana marafiki wengi walikuwa ‘impressed’ na kuanza kutamani...
Watanzania zamani tulikua tukisafiri Africa nchi karibu zote zilkua zinatupenda na kutukaribisha vizuri, sikuhizi mambo yamebadilika, je ni wapi tumekosea ? Mana tena Mtanzania Hapati heshima...
mimi niliajiriwa na kampuni y ambayo inahusika na kazi za ulinzi (y sio jina sahihi) na nikasaini mkataba na hio kampuni na kuelewana kulipwa mshahara wa tsh.50,000 kwa mfano,(sio kiasi sahihi)...