Msomali Mweusi
Senior Member
- Jan 20, 2018
- 100
- 70
Watanzania zamani tulikua tukisafiri Africa nchi karibu zote zilkua zinatupenda na kutukaribisha vizuri, sikuhizi mambo yamebadilika, je ni wapi tumekosea ? Mana tena Mtanzania Hapati heshima ndani ya Africa Kama zamani.