Je unafanyaga uamuzi kwa kukurupuka?

Je unafanyaga uamuzi kwa kukurupuka?

uvugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,351
Reaction score
1,100
Je umewahi kujikuta unafanya maamuzi yanayokukosesha raha ,,, unajikuta unafanya jambo moja kisha unaacha na kurukia lingine ,,,,, unafanya biashara hii kabla haijawa sawa unaaacha na kuamia nyingine.....

Unahama mikoa / kazi, unatafuta maisha kiasha unaacha .....

Unao /olewa kisha unaacha ndoa zaidi ya Mara moja..

Hayo na mengineyo tambua , unaweza ukawa una ugonjwa unaitwa ADHD ( attention deficit hyperactive disorder).

ADHD ..... Attention deficit hyperactive disorder ni ugonjwa wa akili ambao watu wengi sana pasipo kujua wanaumiliki.

Nimeamua kuuita wakukurupuka kwani watu wenye ADHD ni wazembe hawana umakini,,, mambo yao ..

Wengi wao hawamalizi kazi zao .hawafuati taratibu zilizowekwa kama kupanga mstari bank nk..... Wengi wao wanakuwa distracted katikati ya Maongezi.... Anachukia ghafla ..

Utawajuaje hawa watu wakukurupuka (ADHD people )

1. Akiwa amekaa hatulii Mara nyingi sana utawaona utotoni..

2. Wanapenda kutembea , kuzurura zurura: kama ni mtoto at a certain age kukimbia kimbia.

3. Hawavumilii kucheza kwa upole na wenzao hasa watoto ..

4. Kuahirisha ahirisha mambo( procrastination)

5. Kutokupanga vitu vyake ,, kama ni kijana chumba chake vurugu tupu. Hasa wakiume na ADHD inaathiri mostly wanaume kwa mujibu wa American ADHD statistics.

6. Kabla ya kusikiliza anawahi kujibu hoja, na kupaniki haraka.

7. Kuwaingilia wenzao katika maongezi.

8. Kusahau majukumu yao ya kila Siku.

9. Kutopenda kusikiliza wengine kwanza ,,,, wanaongea sana .

Wengi wetu tunajua kipindi cha futuhi star TV ,,, wana comedy yao inaitwa " wakukurupuka" inanakshiwa vizuri sana na brother k ,,, akitia diphthongs ya kiha ... Nimeanzia research yangu hapo ,,,, why people are inattentive...

Tukija matibabu ya ADHD kisayansi ni psychotherapy ,,, tiba za akili ,, yaani akili haipo sawa...

Kiroho , that's where I stand ,,, ni vyema ukakubali kusikiliza neno la Mungu kibiblia uishi sawa na neno ,,,, ukikubali kweli ya imani na kukataa kweli ya dunia hii...

Soma biblia yakobo 1:19-20

Be inspired
 
Asante kwa kutujulisha mambo haya.

Imebidi nipitie kwanza mstari huo. Maana Uzi wako nimeusoma nikiwa karibu na Biblia
 
Back
Top Bottom