young super
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 257
- 315
>> Msamaha ni neno dogo sana lakini linabeba uzito zaidi ya tani mia moja ......... kusema samahni kunaweza kukuon gezea thamani kubwa isiyo elezeke... samaahani yaweza rudisha mahusiano yaliyo potea kwa muda mrefu saana... samahani inaweza kuunganisha wewe na wale wanao kuchukia....
wengi tunapenda kusema BASI NISAMEHE ilihali umekosa... ukisema BASI inamaana kama umelazimishwa...
wengi tunapenda kusema BASI NISAMEHE ilihali umekosa... ukisema BASI inamaana kama umelazimishwa...