Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mamlaka ya hali ya hewa iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Tanzania imewatahadharisha wananchi kuwepo kwa hali mbaya ya hewa katika maeneo yote ya pwani kuanzia leo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
habari za muda wakuu ... moja kwa moja kwenye mada sisi wakazi wa maeneo ambayo asilimia kubwa yetu ni waislamu huwa tunasemwa sana kwamba tunafeli mitihani,..mara hatuna muamko wa elimu mara...
23 Reactions
203 Replies
22K Views
...
0 Reactions
0 Replies
42K Views
Huyu Manager wa Tanroads mkoa wa Arusha sijui anafikiri mkoa wake wote una barabara za lami? Barabara ya kutoka Karatu mkoani Arusha kuelekea Mbulu mkoa wa Manyara ni mbaya sana ni mashimo matupu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za Jumapili wanabodi, Nadhani kila mmoja katika nchi hii yuko huru kufanya au kuongea jambo lolote lile ilimradi havunji sheria za nchi tulizojiwekea kupitia Katiba yetu ya mwaka 1977 na...
1 Reactions
9 Replies
981 Views
Habari wakuu? Wanasema if you don't change you won't grow.. Pia wanasema it takes courage grow up and become who really you are' baada ya kusoma inspirations kadhaa pamoja na quotes za wanajf na...
10 Reactions
36 Replies
7K Views
Habari wadau, Kwa muda mrefu sana hapa maeneo ya Sinza kuna msikiti mmoja (jina nalihifadhi) ambao umefungwa loudspeaker kwa nje hivyo wakianza Ibada zao basi inakuwa ni kero sana kwa sisi...
14 Reactions
222 Replies
22K Views
WANANDOA WAWILI WAKAZI WA MTAA WA BLOCK T JIJINI MBEYA WASABABISHA KUVURUGIKA IBADA. *Ampiga Mke wake, Mke akimbilia Kanisani. *Mchungaji aacha Mahubiri na kuamulia Ugomvi, *Waumini wamfikisha...
2 Reactions
50 Replies
7K Views
Mtu anapata wapi hela ya kujenga nyumba nzuri na kununua gari wakati mshahara unafahamika? Unapata wapi hela ya kuvaa vizuri na kununua viatu vya gharama? Uchunguzi unahitajika.
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari Wanajamii na Uongozi wa DART! Nimeshindwa kufika ofisi zenu kutokana na majukumu lakini nimeona ni vyema kulifikisha hapa ili wengine wapate kuwasilisha kero zao nanyi mzifanyie kazi. 1...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Rais Magufuli akipiga tumba katika sherehe leo Ikulu sambasamba na mpiga tumba wa Msondo pembeni
3 Reactions
50 Replies
6K Views
Wanasayansi ' Wabobezi / Waliotukuka ' duniani wa masuala ya ' Akili ' na ' Maendeleo ' ya Binadamu wamegundua ya kwamba Binadamu wengi wenye uwezo mkubwa sana wa akili / kufikiri na upeo huwa ni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za leo waungwana Hivi kuna yeyote humu mwenye taarifa juu ya kadi za mabasi ya mwendokasi zitakuja lini ? mana ni muda sana kadi hizi hazipatikani kwenye vituo hivo kupelekea usumbufu kwa...
1 Reactions
0 Replies
843 Views
Sijui sheria zinasemaje kwa upande wa wanawake kumiliki silaha kama sisi wanaume au ni mimi tuu sielewi sijawahi kumwona au kusikia hata kwa mtu labda mama fulani anamiliki silaha wajuzi naomba...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama mimi sitaki kuwa Mkristo/ Muislamu wewe inakuhusu nini? Kama mimi sitaki kuamini Mungu wako na sijakudhuru wala kukuingilia maisha yako kwa nini unilazimishe niamini Mungu wako? I mean, Mzee...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii radio station inamilikiwa na Clouds Media Group(mwanzoni walikua wanatangaza kwa lugha ya kiingereza tu kwa asilimia 100 ila sikuhizi wamewaiga Kiss fm wanatangaza kwa Kiswahili pia vipindi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Suala la kuchapisha kadi za ufadhili na kuwagawia watu ili wakuchangie huo ni wizi uliobarikiwa. Unaoa wewe itakuwaje utuchangishe sisi? Mchango ni hiari lakini ukikwama ukashindwa kutoa...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Hapa JF wamejazana kukebehi na kupinga Miradi inayofanywa na Serikali yetu lkn ukweli ni kwamba wao ndiyo namba Moja kukimbilia kupanda Ndege zetu na kupiga Picha kujivunia, ndiyo watakao kuwa...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
...babu yangu mzaa mama mzee Msangi, miaka ya 90 alinifunza kuwa Mungu ametuumba ili tumjue, tumpende, tumtumikie na kisha tufike mbinguni. Yes, it is logical ila nawaza sasa!! Ni nini umuhimu wa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
CHEI CHEI WAUNGWANDA Kipande kati ya Msamvu na nanenane mkoani Morogoro ni kipande ambacho mara kadhaa wananchi wa maeneo hayo hufunga mifugo pembezoni mwa barabara (hasa Mbuzi). Nikiwa nimekaa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…