Hivi mwanamke anaruhusiwa kumiliki silaha?

Hivi mwanamke anaruhusiwa kumiliki silaha?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,578
Reaction score
29,455
Sijui sheria zinasemaje kwa upande wa wanawake kumiliki silaha kama sisi wanaume au ni mimi tuu sielewi sijawahi kumwona au kusikia hata kwa mtu labda mama fulani anamiliki silaha wajuzi naomba kujuzwa.

Je, mwanamke anaruhusiwa kumiliki silaha?
 
Anaruhusiwa kumiliki silaha kama atakuwa ametimiza vigezo vya kumiliki
 
Kama ana uhai basi ana haki kama wenye uhai wengine
 
Sijui sheria zinasemaje kwa upande wa wanawake kumiliki silaha kama sisi wanaume au ni mimi tuu sielewi sijawahi kumwona au kusikia hata kwa mtu labda mama fulani anamiliki silaha wajuzi naomba kujuzwa je.. mwanamke anaruhusiwa kumiliki silaha??
Ata wembe wa kuchongea wanja ni silaha. Sijui wewe unamanisha silaha zipi
 
Nadhani Tz tumeshapitwa na mawazo ua mfumo dume. Kama yeye ni raia mwenye umri 18+ akikamilisha mahitaji yote anapewa kibali cha kuimiliki. Wapo wanawake wengine wanazimudu rifle kuliko hata wanaume kwa shabaha
 
Mimi nashauri raia turuhusiwe kumiliki RPG na machine guns
 
Anaruhusiwa. Na kuna wanawake wameshapewa wanazimiliki na wanajua kuzitumia. Kama yule wa Arusha aliyewachokonoa wale police waliokuwa lindoni bank [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Nadhani Tz tumeshapitwa na mawazo ua mfumo dume. Kama yeye ni raia mwenye umri 18+ akikamilisha mahitaji yote anapewa kibali cha kuimiliki. Wapo wanawake wengine wanazimudu rifle kuliko hata wanaume kwa shabaha
Hilo nalijua mkuu mi nauliza kumiliki bastila je?wapo wanaomiliki na aliwahi kumwona?
 
Anaruhusiwa. Na kuna wanawake wameshapewa wanazimiliki na wanajua kuzitumia. Kama yule wa Arusha aliyewachokonoa wale police waliokuwa lindoni bank [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Yule si alikuwa mwizi mi namaanisha kuimiliki kihalali
 
Hiyo rpg polis wenyewe hawana wewe raia uwe nayo?
Polisi gani ?labda Traffic....
images

Ni Mapambano

images
 
Nadhani Tz tumeshapitwa na mawazo ua mfumo dume. Kama yeye ni raia mwenye umri 18+ akikamilisha mahitaji yote anapewa kibali cha kuimiliki. Wapo wanawake wengine wanazimudu rifle kuliko hata wanaume kwa shabaha

Katika intake yetu ya National Service alieongoza kwa shabaha pale 821KJ ni mdada huku masela tukibaki "kuua mijusi"
 
Back
Top Bottom