Kwanini Mungu asifanye kuwe na dini moja?

Kwanini Mungu asifanye kuwe na dini moja?

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,800
...babu yangu mzaa mama mzee Msangi, miaka ya 90 alinifunza kuwa Mungu ametuumba ili tumjue, tumpende, tumtumikie na kisha tufike mbinguni. Yes, it is logical ila nawaza sasa!! Ni nini umuhimu wa dini nyingi hivi?

Kabla ya ukoloni, tulikuwa na dini zetu. Hawa wageni waarabu wakatuletea uislam, mara ahmadia, Sunni, Asal sun, wahabia n.k, mara wazungu wakatuletea ukatoliki, Lutheran, Angrican, pentekoste!!! What are these things? Kwa nini Mungu asituumbie dini moja tuu, tuamini humo tuingie mbinguni kwayo?

Ok, fikiria tena, je Wahindi au wachina wangetutawala africa, c tungekuwa wabudha au wahindu huku tunaabudu ng'ombe?

Hizi dini za wageni zimetuondolea ufikiri, sasa wanaishia kutuita 'shitholes' na sie tunachekelea! Ninaumia ninavyowaona wakongo na wasomali wanavyotaabika kisa dini na maslahi ya waliotuletea dini!! Tunaishia kuwa uwanja wa majaribio. Poor leaders like Kabira, Ali Bongo, Djame and the like!!

Dini zimekuwa nyingi mpaka za kihuni huni kama ya Nabii Tito na Bushiri, full mazingaombwe na tunachekelea tu huku tunapeleka sadaka na kununua maji ya upako fake!!

NB: Ukiwa mtu wa hizi dini sana, kuna kakipengele muhimu kwenye ubongo kanafyatuka na kuchomoka! U can't think perfectly and critically again!!

Cc: Dini tumeletewa Afande Sele ft Belle 9!
 
Sio dictator, amewapa watu uhuru wa kufanya vitu kwa utashi wao! aliwaumba kwa mfano wake, and that Godly nature lives in Human, haina reverse!
 
Imani ipo moja tu.. binadamu ndio kabadilisha na kijitungia zake
 
Sio dictator, amewapa watu uhuru wa kufanya vitu kwa utashi wao! aliwaumba kwa mfano wake, and that Godly nature lives in Human, haina reverse!
So, tunautumia uhuru vby? Cant He interviene?
 
Mkuu, kwakuwa dini ni imani, inatupasa kuamini tofauti. Hata Mwenyezi Mungu, tangu kuanza kwa uumbaji, ametuumba wanadamu na uwezo na uhuru wa kuamua na kutofautiana. Hivyobasi, hakutawezekana kuwa na dini moja, yaani, watu kutotofautiana kimawazo na kifikra.
 
So, tunautumia uhuru vby? Cant He interviene?

Unaelewa maana ya uhuru, he has the power to intervene, but he has given you freedom to do what you want to do! If ur given freedom it means you will not be interfered!

Kenyata alikuwa na uwezo wa ku intervine kuapishwa kwa Raila? yes! na majeshi, silaha na kila kitu, Was Rail doing the wrong thing? yes, according to the law, but alimuacha!

God doesn't force anyone following him, but there are consequences za kutomfuata Mungu, ila hatoingilia utashi wa mtu kuamua kufanya baya
 
NB: Uhuru hajamuacha Laila, anadeal nae kisheria now! That is intervation.

Anyway, God thinks beyond our capacity, kama anaona tunapotoka, why asitunyooshe? Uhuru bila mipaka ni dhambi.
 
Back
Top Bottom