102.5 Choice Fm siwaelewi

102.5 Choice Fm siwaelewi

masare

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
2,271
Reaction score
2,108
Hii radio station inamilikiwa na Clouds Media Group(mwanzoni walikua wanatangaza kwa lugha ya kiingereza tu kwa asilimia 100 ila sikuhizi wamewaiga Kiss fm wanatangaza kwa Kiswahili pia vipindi vyao karibia asilimia 80)

kwa sasa inasikika katika mikoa ya Dodoma,Morogoro na Iringa tena kwa the same frequencies hzohzo yaani 102.5

Lakini cha kushangaza Watangazaji wake bado wanatangaza kwamba choice Fm inapatikana Dar Es Salaam na kwa mikoani inapatikana online tu.
Hata vile vipindi vinavyoruhusu interaction ya sms baadhi ya wasikilizaji wamekua wakijitaja kuwa wanasikiliza kutoka mikoani kwa radio na sio online.

Je inamana hawa watangazaji hawajapewa updates na uongozi kwamba kumeongezwa mikoa mingine japo ni frequencies zilezile ........

au labda bado ipo kwenye majaribio...!!

CMG tupeni majibu tafadhali...
 
Huwa napenda sana kusikiliza TBC INTERNATIONAL 95.3 FM kwa dar.Radio hii ni ngeri mwanzo mwisho afu haina umbea umbea.Classy
 
Huwa napenda sana kusikiliza TBC INTERNATIONAL 95.3 FM kwa dar.Radio hii ni ngeri mwanzo mwisho afu haina umbea umbea.Classy
Yeah ni kweli km choice ilivyokuwa zamani.....sema kuna radio station sijui inaitwaje,cos inapiga vitu classic tu icheck kwenye 103.3 @ Dar iko poa na yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je inamana hawa watangazaji hawajapewa updates na uongozi kwamba kumeongezwa mikoa mingine japo ni frequencies zilezile ........
Zama za teknolojia,kama mtambo una unguvu unaweza kuvuka mipaka,Hawawezi kutangaza kinyume na walivyoruhusiwa na TCRA.
Kama unataka matangazo ya kiingereza tune BBC mkuu utakonga moyo wako
 
Back
Top Bottom