Habari za leo waungwana
Hivi kuna yeyote humu mwenye taarifa juu ya kadi za mabasi ya mwendokasi zitakuja lini ? mana ni muda sana kadi hizi hazipatikani kwenye vituo hivo kupelekea usumbufu kwa abiria wa uhakika ambao hawapendi kukatakata tiketi kila siku na kukaa muda mrefu kwenye foleni.
Kama kuna yeyote mwenye ufahamu juu ya hili atujuze tafadhali