Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Iwe umekutana nao mtaani, usiku,polisi central ama nyumbani kwako tuwekee kisa chako kuhusu usumbufu na majanga ya polisi wetu..... Mwaka juzi wakati wa sikukuu ya mwaka mpya nikiwa natoka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanabodi habari. Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa nikiwa stendi kuu ya mabasi ya ubungo iliyopo Jijini Dar es Salaam. Binafsi kilichotekea ni kitu cha kuhuzunisha japo kinachekesha...
25 Reactions
174 Replies
15K Views
Buchosa. Walimu saba wanaofundisha Shule ya Msingi Soswa wilayani Sengerema wamejikuta wamelala nje pamoja na familia zao huku wawili kati yao wakiwa wamenyolewa nywele kichwani na sehemu za siri...
3 Reactions
94 Replies
16K Views
Niwasii ndugu zangu tutakuwa hatujatumia akili kwa kiwango cha PhD eti mtu amejiuzulu Ubunge halafu arudi pale tumchague au agombee sehemu nyingine tumchague kama angekua na umuhimu wa kuendelea...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Basi la kampuni ya SARATOGA Kigoma Mwanza lapata ajali maeneo ya Nyantakala Nyakanazi na kujeruhi watu 27. Ni wakati sasa wa kuwaombea majeruhi wapate kupona na kuwaombea safari salama wasafiri wote.
1 Reactions
9 Replies
7K Views
Lazima kila binadamu anaamini uwepo wa Mungu haijalishi Dini wala nini ila kuna jambo labda unahisi ni la kipekee linatokea hapa Duniani au limewahi kutokea hata kwako wewe mwenyewe mpaka...
47 Reactions
2K Replies
117K Views
Je, benki uliyoweka fedha yako ikifilisika, unajua haki yako na usalama wa fedha yako? Tujadili.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KENYA: Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 11 ameamua kujiua baada ya ombi lake la kuhamishwa shule kukataliwa huko nchini Kenya. Taarifa zinasema kuwa mtoto huyo kutoka kijiji cha Ongata Rongai...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
*WAJIBU WA DEREVA KWA ABIRIA WAKE* *Je, ni upi wajibu wa dereva kwa abiria* au kwa lugha nyingine dereva ana wajibu kwa watu wa ngapi? Labda tuanza na swali hili. *Watu ambao dereva anawajibika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilikuwa nahitaji kuonana na Makamu mkuu wa Chuo. Baada ya kuonana na Secretary wake utaratibu ukawa hivi. Secretary anaingia kwa makamu mkuu wa chuo halafu anarudi na kuniuliza "anasema...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
*WAJIBU WA DEREVA KWA ABIRIA WAKE* *Je, ni upi wajibu wa dereva kwa abiria* au kwa lugha nyingine dereva ana wajibu kwa watu wa ngapi? Labda tuanza na swali hili. *Watu ambao dereva anawajibika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini, Tabia ya TRA kujumlisha kodi ya 10% kaajili ya kodi ya pango la biashara kwa mfanyabiashara wakati makadilio ya kodi ni uonevu kwakweli. Wanakwambia leta mkataba wa pango la biashara...
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Pamoja kuwa stand hiyo ni kubwa na muhimu kwani inahudumia abiria wengi sana standi haina hadhi kabisa kwanza mazingira ni machafu sana inanuka mikojo inaonekana watu wanajisaidia haja ndogo hapo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Chama cha wasafirishaji abiria TABOA kimeazimia kuonana na Rais Magufuli ili kupeleka kilio chao kuhusu sheria mpya iliyopandisha maradufu faini za makosa ya barabarani. Wamedai sheria hiyo mpya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanamke anayejulikana kwa jina la Verediana Paschal, mkazi wa Kisimiri mkoani Mwanza ameenda hospitali na kuomba kujifungua kopo. Madaktari/wauguzi walishangaa sana na kutaka kumpima lakini...
0 Reactions
48 Replies
9K Views
Dar es Salaam, January 2018: Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro has been named the winner of the 2017 national competition for health and environmental cleanliness which was held by the...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Arusha: Mawasiliano ya barabara inayounganisha Wilaya za Monduli na Karatu katika eneo la Makuyuni imekatika kutokana na mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia leo. Hakuna gari inayoweza kutoka...
4 Reactions
75 Replies
12K Views
Wafanyabiashara wawili, Antonia Zacharia na Timoth Kilumile wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza, kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya Sh bilioni 10 kwa kujipatia...
3 Reactions
65 Replies
17K Views
Karibu mwenye ufahamu zaidi juu ya hii mikoa miwili, Kiuchumi na Kijamii!
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Mamlaka ya maji safi na maji taka jiiji Dar Es Salaam imesema imepokea majeruhi watano waliounguzwa na moto uliosababishwa na kupasuka kwa bomba la gesi eneo la Buguruni kwa Mnyamani wakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…