Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Njia rahisi sana ya kupunguza bei ya mafuta kwa wenye akili watanielewa Mfano Kodi zote ni 31% ya bei ya mafuta Ths 3500 kwa lita kodi zote ni Tsh 1,085 Mfano sasa bei ni Tsh 4500 kodi ni Tsh...
4 Reactions
8 Replies
248 Views
https://www.youtube.com/watch?v=J6rFxg187NY
1 Reactions
0 Replies
127 Views
Kumbe kinachosema watu kuwa ulimi wako unaweza kuwa laana kwako ni kweli. Kuna dada mmoja hapo nyuma aliachana na mume wake baada ya kufungua kibiashara chake ambacho kilikuwa kinamuingizia pesa...
5 Reactions
3 Replies
217 Views
Hivi ni kwanini filling station za Total Energy hasa Dodoma toka juzi vituo havitoi huduma kila kituo ninachoenda naambiwa mafuta hamna Inakuaje vituo vyote viishiwe mafuta tangu juzI Hizi ni...
1 Reactions
2 Replies
116 Views
Zee jinga limekabiwa kwa juu Na sasa limesimamisha ka misheni kake ka operesheni fridom
2 Reactions
3 Replies
192 Views
Kuna maandiko yanasema: Basi njoo unilaanie watu hawa; maana wana nguvu kunishinda mimi. Labda nitaweza tupate kuwapiga, niwafukuze watoke katika nchi yangu, kwa maana najua ya kuwa yeye...
24 Reactions
92 Replies
5K Views
  • Featured
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi aitwaye Roland Mollel ambaye ni mkazi wa Arusha yaliyotokea Aprili 15, 2026 muda wa usiku. Kwa mujibu...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Babangu mzee, Leo kaamka vibaya, maana anadai 10,000 aliyonunulia eneo pale msasani makangira Leo hii inatumika kununulia mafuta ya gari Lita 2. Miaka 64 yrs ya Uhuru Taifa halina stock ya mafuta...
1 Reactions
0 Replies
138 Views
Baada ya kutokea kwa bomoabomoa ~ Wananchi wa Mbagala Rangitatu wadai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara wakati kesi iko mahakamani Serikali imetoa ufafanuzi wa kilichotokea... Mkuu wa...
3 Reactions
10 Replies
320 Views
Kesho kwa maana ya masaa machache yajayo Kuna tetesi za wazi kwamba kesho ni kiama kingine cha ongezeko la bei kwenye mafuta Mafuta Yaliyopanda bei ni yale yaliyokuwa nchini.. Ambayo kiuhqlisia...
8 Reactions
31 Replies
688 Views
Mimi sitaji kazi yako ila tu mwenyewe utajua. Kama kazi yako inaitwa KAZI KAMA KAZI zingine hapo jua muda wowote kitakuramba. Kazi kama kazi zingine usipokwenda kazini siku 5 mfululizo lazima...
1 Reactions
3 Replies
227 Views
Aliyekuwa mtangazaji kutoka wasafi media babu Zembwela ameaga rasmi Leo kuondoka ndani ya kituo cha wasafi media. Zembwela ambae alikuwa akifanya kipindi cha Good morning pale wasafi Fm na hata...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Anonymous
Napenda kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu hali ya watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto yatima kinachojulikana kama Shalom Center, kilichopo Kisongo, Arusha. Kwa masikitiko makubwa, kuna...
1 Reactions
7 Replies
356 Views
Meet the offer you can’t refuse. Whether you need a blog, personal site, safari and tours site, booking site, project site, academic site, construction & engineering site, online shop or online...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Nikisema nielezee, maelezo yatakua mengi. Ila swali ni moja, nyama ya punda inaliwa? Kama inaliwa kuna athari gani nitapata mwilini. Msaada tafadhali ili nichukue hatua.
5 Reactions
37 Replies
455 Views
Kusema akapumzika maana yake kazi ilikuwa ngumu sana ikamchosha hivyo ikamlazimu apumzike tena maandiko yanasema akastarehe kwa sasa tunaweza kusema akala Bata (BATA BATANI) Mwanzo2:1-3. Au...
5 Reactions
4 Replies
146 Views
Habari kaka ,mimi mzima wa afya ni miaka mingi hatujakutana uliondika mimi nikiwa mdogo sasa mimi nimekua mtu mzima week ijayo natarajia kuoa . Nilisoma Kwa tabu sana lakini nilibahatika kumaliza...
4 Reactions
7 Replies
157 Views
Mahakama zinaogopwa sana hata kwa watu wenye haki , niliwahi kufungua kesi Mahakama ya kisutu , sikutegemea mashahidi niliowaamini wote walikimbia ☺️ kwa hofu ya jengo la mahakama ijapokuwa...
3 Reactions
20 Replies
277 Views
UFAFANUZI JUU YA TAARIFA YA MALALAMIKO ILIYOTOLEWA NA MTANDAO WA KIJAMII (JAMIIFORUMS) JUU YA KITUO CHA AFYA MBANDE Tarehe 03/05/2026 JamiiForum imechapisha taarifa ya malalamiko kutoka kwa Mdau...
1 Reactions
2 Replies
226 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…