Tatizo ni kwamba neno 'Uchochezi' halijatamkwa mahali popote kwenye sheria hizo wala kwenye Sheria ya Utangazaji 1993 ambayo ndio msingi wa kuundwa kwa sheria hizo. Wala kwenye Sheria ya Mamlaka...
Wanabodi,Ijumaa Kareem.
Hivi kuna ubaya ( dhambi) kwa Mkristo kumiliki mali (utajiri) ambao either ni Wa kurithi au umeupata kwa juhudi zako mwenyewe?
Naona kama utajiri na Ukristo havina...
Wadau, sheria mpya ya mitandao inapiga marufuku kupiga picha ama video na kuisambaza mitandaoni. Matumizi ya Sheria hii ilitaka kutumiwa kwa yule kijana aliepiga picha za hostel ya JPM iliyopata...
Nadhani Polisi wanafanya mzaha kwenye mambo serious. Juzi Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma, SACP Gilles Muroto alisema kwamba walipokamata Nabii Tito walimpeleka hospitali ya Mirembe na...
Kumekuwapo na ukengemfu Kidogo kuhusu hii alama, wengi wetu tukiishia kusema ni masonic sign.
Ila ukipata kujisomea kwenye Lugha za alama ambazo ni maarufu kwa jamii ya viziwi, lugha alama hii...
Wakuu Amani Iwe Kwenu
Naomba mwenye Mawasiliano na Afsa Elimu -Msingi -Ilala Anisaidie Nina Shida Nae Muhimu
Nafahamu Kuweka Mawasiliano Binafsi Hapa Sio Vizuri Lakini Waweza Ni pm au Ukaweka Ya...
Kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa hivi karibuni, waendesha bodaboda wanachangia asilimia 13 ya mimba za utotoni nchini.
Matumizi ya bodaboda, ama pikipiki kwaajili ya biashara, yameongezeka sana...
Leo ni siku ya nane hakuna maji Kahama kwa sababu TANESCO wamewakatia umeme, sisi wananchi tunalipa bili kwa wakati na usipolipa unakatiwa maji hivi hela zetu zinaenda wapi? Kama wangetenga kila...
Katika kitu ambavyo Kikwete amefeli kwenye utawala wake ni kutojali na kutowezesha wizara, idara na vyombo vyote ambavyo vina mamlaka ya kukuza, kuendeleza lugha ya Kiswahili.
Tusisahau kuwa...
Kuna matukio kadhaa yametokea kwa baadhi ya watanzania kupotea na kupatikana baada ya muda fulani,lakini cha ajabu hawasemi walikuwa wapi,walihojiwa nini na hata sababu za kupotea kwao zilikuwa...
Polisi Mkoani Kilimanjaro inamshikilia mfanyabiashara wa majengo Moshi kwa madai ya kumbaka binti yake wa kuzaa wa umri wa miaka 22.
Taarifa zinadai mfanyabiashara huyo akifanikisha nia yake ovu...
Serikali ya awamu ya Tano imeamua kuchukua uamuzi wa kuhamishia Makao Makuu ya Serikali Mkoani Dodoma.
Kwa hakika hatuna shaka na uthubutu huu, wakati Wizara karibia zote na baadhi ya Taasisi...
Wadau nimefanya takwimu kidogo jijini Dar es Salaam nimeona magari ya Aina ya IST na RAUM yameongezeka kwa kasi barabarani siku za karibuni na aina za magari mengine zimeanza kupotea hii...
Tido Mhando,ukiacha yeye kuwa mkurugenzi katika mashirika kadhaa makubwa ya utangazaji,anashikilia rekodi ya kuwa mtu pekee duniani aliyefanikiwa kufanya mahojiano na marais wote duniani...
Habari za asubuhi wana JF
Kwanza kabisa niwatakie waislamu wote Ijumaa Karim. Pili bila ya kupoteza muda kwa sisi wahenga tuliokula chumvi (wazee wa zamani wanaakili sana wanajua ukiwa mtu mzima...
Ijumaa ya wiki iliyopita nilikwenda ofisi za TRA kufuatilia leseni yangu ambayo nilikwishailipia wiki tisa (9) zilizopita. Hii ni mara ya tatu kwenda kuulizia kama leseni yangu iko tayari. Kila...
Kazoea kunitumia sms hizi.
Habari Ya Huko Tabora Kijana Wangu Kevini Ninakushukuru Sana Kwa Zawadi Uliyo Nitumia Lakini Nadhani Hata Wewe Mwenyewe Umeamini Kuwa Ndagu Yangu Haina Madhara Si...
Dar es Salaam. Invitations to the annual World Economic Forum (WEF) in Davos are sent to individuals, not countries, Foreign Affairs minister Augustine Mahiga clarified yesterday.
This is the...