Nafikiria kumfungulia mashitaka MTU huyu

Nafikiria kumfungulia mashitaka MTU huyu

Kaisari

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2012
Posts
3,636
Reaction score
3,046
Kazoea kunitumia sms hizi.

Habari Ya Huko Tabora Kijana Wangu Kevini Ninakushukuru Sana Kwa Zawadi Uliyo Nitumia Lakini Nadhani Hata Wewe Mwenyewe Umeamini Kuwa Ndagu Yangu Haina Madhara Si Nilikuelekeza Kuwa Siyo Ya Kumwaga Damu Pia Jitahidi Kuzingatia Mashart Usiharibu Na Pia Ndagu Hii Si Kwa Wanaume Pekee Hata Kwa Wanawake Mpe Mjomba Wako Namba Yangu Pia Yeye Nitamsaidia Si Ulisema Yuko Machimboni Kwa Muda Wa Miaka Miwili Hajafanikiwa Mwambie Aje Asante Sana Mjukuu Wangu Nipigie Voda Yangu 0752227775

Ananiudhi sana
 
Back
Top Bottom