Mawasiliano ya Afsa Elimu -Ilala

Mawasiliano ya Afsa Elimu -Ilala

Davooo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
506
Reaction score
779
Wakuu Amani Iwe Kwenu

Naomba mwenye Mawasiliano na Afsa Elimu -Msingi -Ilala Anisaidie Nina Shida Nae Muhimu
Nafahamu Kuweka Mawasiliano Binafsi Hapa Sio Vizuri Lakini Waweza Ni pm au Ukaweka Ya Ofisi yake Sio Mbaya Kwa Kuwa Ni Mambo Ya Kiofisi
Ni Muhimu Sana Msaada tafadhali
 
Nenda ofc kwake hapo karibu na Azam boat,makao makuu ya jiji.
 
Back
Top Bottom