Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ofisa Msaidizi wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jennifer Mushi amekana kumiliki magari 19 yenye thamani ya Shilingi Milioni 197,601,207 yasiyolingana na kipato chake katika Mahakama...
3 Reactions
151 Replies
16K Views
Siku ya Jumamosi wiki iliyopita majira ya saa 10:30 jioni uligunduliwa mwili wa kijana Agel katika kiwanja cha bwana mmoja mtaani hapa ambapo uchunguzi wa awali ilibaini kuwa kifo chake kilitokea...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hivi vyama msingi wake ni kushirikiana tu,au kuna nini nyuma ya pazia? maana kama ni kusaidiana,watanzania ni wamoja Tangu uhuru,iweje kuwe na vyama vya ukanda?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Tanzania ina vitengo viiingiii ya kufuatilia masuala ya usalama. Vipo karibu kila mahali na watendaji wake siyo lazima wajulikane. Miongoni mwa vitengo hivyo ni kile kinachoitwa Financial...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Picha inaongea. Najua wale wenye roho mbaya kuliko shetani habari hii itawauma, yaani hawapendi kumuona Lissu akiwa anapata nafuu kama hivi. Hakika Mungu ni Mkubwa.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Jf Jinsi miaka inavyozidi kwenda kumeanza kutokea mabadiliko mengi hapa Tanzania. Yaani nashangaa siku hizi unakuta vijana wengi mashavu yameshadondoka...wakati umri ukiwa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imebaini maeneo ya bahari kuu, bandari, vituo vya mabasi na viwanja vya ndege ndio yanatumika zaidi kupitisha dawa za kulevya. Amesema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kutangazwa washindi wa tunzo za Mabati Cornel award na hatimae siku ya jana katika jiji la Nairobi ndani ya ukumbi wa Kenya national theatre washindi hao wawili kutoka Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Kila linapozungumzwa zuri la nchi jirani,watanzania hujitokeza kuponda sana.Na hadi jirani zetu wanatuita tuna roho ya korosho na wameshajua kuwa tukiona zuri kwao roho hutuuma mno. Binafsi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi karibuni kumeibuka michezo mingi ya kubahatisha, hasa kwa njia ya matumizi ya mitandao ya simu, kiasi kwamba mchezo wa Bahati Nasibu ya Taifa ni kama umekufa. HISTORIA YA MICHEZO YA...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tumuombee mama yetu tulikuwa mama fi.SR FIDESTA thank you
3 Reactions
51 Replies
9K Views
Mjumbe hauwawi, angalia mwenyewe hapa. Pamoja na hayo, navilaumu sanaaaaaa! vyama vyote vya wafanyakazi kwa kuwa kimya hadi kufutwa kwa FAO LA KUJITOA.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, Siku Chache zilizopita, nimesikia kuanzishwa kwa Chama kipya cha kijamii, Cha wanasheria wasabato. Lengo kuu, la taasisi hiyo kama wahusika wanavyodai ni kulisaidia kanisa " Sabato"...
10 Reactions
151 Replies
17K Views
Sometime Nakumbuka kulee tulipotoka,vile tulivyokuwa tunacheza pamoja, Vile tulivyokuwa tunasoma na mambo mengine mengi tuliyokuwa tunafanya pamoja, sikuwahi kuwaza labda ipo siku tunaweza...
2 Reactions
3 Replies
743 Views
Nipo hapa maskani na wana CCM, Asiee wanamkubali sana jamaa kuanzia kile kipaji chake cha kugundua madiwani wa CHADEMA wanaounga mkono juhudi za hali ya juu za Mheshimiwa Rais hadi ile kauli yake...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Habari Kwa wale waandishi wa barua si ajabu mshakutana na huu msamiati wa bahasha(karatasi) za A4, A5 n.k Naomba elimu hapa kwa nini karatasi(bahasha) ziitwe A4, A5 n.k maana naskia mpaka A10
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Popote ulipo, mdogo wako D the great nakukumbuka. Ulinifundisha mengi, ikiwemo jinsi ya kutongoza, kuzungumza na mwanamke na hata jinsi ya kumkumbatia msichana. Nashukuru sijasahau darasa lako...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Amani ya bwana iwe nanyi Poleni na mihangaiko ya maisha ,ningependa niende moja kwa moja kwenye mada husika .Nilikuwa naitaj kuijua zaid hii taasis/kampuni ya vortex kw yoyote mweny kuijua maana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi karibuni tumempoteza Mbunge wa zamani wa Tarime Ndugu Edward Oyombe Ayilla aliyefariki majuma mawili yaliyopita.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanajamvi kila siku tunasikia watu wakandia ndege za ATCL kuwa ni Pangaboi na lugha nyingi za kejeli. Je tofauti za hizi pangaboi za ATCL na Pangaboi za precision hatuzisemi..Je tunkandia tu huu...
5 Reactions
71 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…