Nataka kumjua mmiliki wa Mkomile Royal Hotel iliyopo Sinza

T 1984 CON

Member
Apr 15, 2017
49
81
Hbr Wakuu,

Najua hapa halikosekani neno, shida yangu wakuu nataka kumjua mmiliki wa Hii hotel iko sinza ya mkomilo royal hotel mana nmesikia ni ya kibopa fulani.

Harakati za Kingo!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Habari kama hizi huwa nazisikia kwenye vikao vya kina mama vibarazani....wakiwa wanasukana sio kutoka kwa mwanaume.....

Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa aliyeleta uzi huu ni mwanaume kwa maana nzima ya uanaume.....

Kama ni mwanaume na haoni mushkeli kwenye hili swali basi ana matatizo makubwa sana....
 
Wewe ni mmama?
Kama sio, wewe unawasuka wamama?
Kama sio unawasikia ukiwa unafanya nini nao?

Wanaume tumebaki wachache
 
Hbr Wakuu,

Najua hapa halikosekani neno, shida yangu wakuu nataka kumjua mmiliki wa Hii hotel iko sinza ya mkomilo royal hotel mana nmesikia ni ya kibopa fulani.

Harakati za Kingo!
Ngoja nikusaidie mmiliki wa hiyo hotel ndio yule mmiliki wa ukumbi wa mwika pale makaburin ni mzee mmoja mchovu ukikutana nae hutamjua pia anauza vitenge Kkoo.
 
Hbr Wakuu,

Najua hapa halikosekani neno, shida yangu wakuu nataka kumjua mmiliki wa Hii hotel iko sinza ya mkomilo royal hotel mana nmesikia ni ya kibopa fulani.

Harakati za Kingo!
sio ya kibopa ni ya mzee mmoja anaitwa EPIMARK STEPHEN MAKOI ,ndiye mwenye mwika hotel sinza,mwenye grand savoy hotel tabata na nimfanyabiashara mkubwa wa vitenge kkoo na ana maghorofa kkoo ni mchaga na anaroho safi sana tuuu.
 
Back
Top Bottom